Zao gani hutumika kutengeneza magodoro?

Lakini mtoa mada kauliza kwamba, malighafi asilia inayotengeneza magodoro ya sponji. Kuna link moja kaeeka member wetu humu, inaeleza kirefu sana jinsi hayo magodoro yanavyotengenezwa.
Kwamba asili yake ni mti uitwao mpira inayopatikana na kulimwa nchi za mashariki ya mbali.
Huo mpira hugemwa kwa kukatwa gamba kutiririsha utomvu kwenye vyombo maalumu na hatimaye hupelekwa kiwandani kuchakatwa kitaalamu.
Baadaye huzalishwa bidhaa mbalimbali yakiwemo hayo magodoro, matairi nk nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Digba . . ,

Hiyo picha hapo kwenye avatar ni wewe ndugu . . ?!

Una akiliii aisee . . , ndio maana uko magogoni . .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utomvu wa mnyaa unachanganywa na amira. Ndo maana panya wanayapenda wanadhani ni mabumunda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nilikua na mdaa sijacheka mkuu
 
Gadara
Gedere
Gidiri
GODORO
Guduru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…