Zao la kumnyima Haji Manara nakala ya hukumu hili

kambale mnene

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2022
Posts
271
Reaction score
197
Haki ya kukata rufaa kupinga hukumu ni ya mshitakiwa (mhukumiwa).

Hatua hiyo ina taratibu zake, mojawapo ni kumpatia mhukumiwa nakala ya hukumu pamoja na mwenendo wa kesi

Haji Manara anadai kuwa ameomba mara kadhaa vitu hivyo bila mafanikio.

Kuna maswali mengi juu ya hili, machache yake ni haya.

1. Hukumu alipigwa nayo Haji siyo ya haki kiasi kwamba kamati ya nidhamu inaogopa itaaibika huko mbele?

2. Hukumu haikutolewa na kamati bali imetolewa kwa amri ya karia nk.

Mimi naamini Haji Manara amepewa nguvu ya kufanya aliyoyafanya juzi na. TFF kwa kumnyima nakala za kesi Haji manara.
 
Kweli Yanga wapumbavu wengi sana, yaani zeruzeru afanye ujinga wake tena wa kujirudia rudia na anaamua kuiunganisha taasi kwenye upuuzi wake nao wanamuunga mkono.
Amepata wapumbavu wenzake wanaomuunga mkono kwa huo ujinga wake, Simba haiwezi kukumbatia ushenzi kama huo
Mbona mnatokwa povu! Shida iko wapi? Kama hiyo nakala ya hukumu imeshatolewa, si mumfahamishe tu mtoa mada kistaarabu!

Tena mnaweza hata kuambatanisha na hiyo nakala kama ushahidi. Lakini sasa maneno meeengi! Halafu hoja hakuna.
 
Hivi iwapo Haji akiendelea na mambo yake itakuwaje, yaani mfano saa hizi wanaamuita Tena kwenye kamati Yao ya maadili na Hersi alafu wawape adhabu ikiwemo kumuongezea Haji adhabu ingine lakini aendelee tu na shughuli zake za Yanga asijali wala Nini kama fine halipi na kujihusisha na soka anaendelea watamfanya Nini.

Wataipa Yanga adhabu? Nao hawalipi wala hawahangaiki itakuwaje, wataitoa Yanga kwenye ligi na michuano mingine ya TFF? Wanaweza jeuri hii?

Nimewaza tu Kwa sauti
 
Mbona mnatokwa povu! Shida iko wapi? Kama hiyo nakala ya hukumu imeshatolewa, si mumfahamishe tu mtoa mada kistaarabu!

Tena mnaweza hata kuambatanisha na hiyo nakala kama ushahidi. Lakini sasa maneno meeengi! Halafu hoja hakuna.
Mbumbumbu
 
Hata kwa zeruzeru mlisema hivyo hivyo. Yaani mnakubali kuingizwa kwenye ujinga wa Haji Manara kiumbe aliyesema nyie wote ni hamnazo?
Sasa si mumfungie kama mlivyo mfungia huyo Haji Manara! Maneno mengi ya nini tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…