kambale mnene
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 271
- 197
Haki ya kukata rufaa kupinga hukumu ni ya mshitakiwa (mhukumiwa).
Hatua hiyo ina taratibu zake, mojawapo ni kumpatia mhukumiwa nakala ya hukumu pamoja na mwenendo wa kesi
Haji Manara anadai kuwa ameomba mara kadhaa vitu hivyo bila mafanikio.
Kuna maswali mengi juu ya hili, machache yake ni haya.
1. Hukumu alipigwa nayo Haji siyo ya haki kiasi kwamba kamati ya nidhamu inaogopa itaaibika huko mbele?
2. Hukumu haikutolewa na kamati bali imetolewa kwa amri ya karia nk.
Mimi naamini Haji Manara amepewa nguvu ya kufanya aliyoyafanya juzi na. TFF kwa kumnyima nakala za kesi Haji manara.