CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kwenye mambo ya kipumbavu tulikuwa tunamkataaAlivyokua Simba alikua anaungwa mkono pia acha unafki
Maneno mnayo nyie wapambe wake ,huko alikoyakanyaga anaenda kupokea nyundo tu.Sasa si mumfungie kama mlivyo mfungia huyo Haji Manara! Maneno mengi ya nini tena!
kama ni ushenzi kaanza kuufanya siku nyingi akiwa simba mbona hamjawahi kunyanyua midomo yenu kumlaani ?Amepata wapumbavu wenzake wanaomuunga mkono kwa huo ujinga wake, Simba haiwezi kukumbatia ushenzi kama huo mamamae zao
nakazia tenaHiyo jeuri ya kumfungia, hawana.
Ndugu usitaje uzeruzeru maana hakupenda azaliwe hivyo ni kazi ya Mungu, kumbuka wewe unazaa pia, utakuja zaa zeruzeruKweli Yanga wapumbavu wengi sana, yaani zeruzeru afanye ujinga wake tena wa kujirudia rudia na anaamua kuiunganisha taasi kwenye upuuzi wake nao wanamuunga mkono.
Tulia wewe msambaa wa Utopoloni.Mbona mnatokwa povu! Shida iko wapi? Kama hiyo nakala ya hukumu imeshatolewa, si mumfahamishe tu mtoa mada kistaarabu!
Tena mnaweza hata kuambatanisha na hiyo nakala kama ushahidi. Lakini sasa maneno meeengi! Halafu hoja hakuna.
TFF hata ikiwafungia viongozi woote wa Yanga, maisha ya soka yataendelea timu itaendelea kuingia uwanjani na kucheza.Ngoja hersi nae afungiwe muanze kulia lia
Kushabikia Yanga ni uwendawazimu wa asiliKweli Yanga wapumbavu wengi sana, yaani zeruzeru afanye ujinga wake tena wa kujirudia rudia na anaamua kuiunganisha taasi kwenye upuuzi wake nao wanamuunga mkono.
Ndiooo🤔Na wewe unaamini kuwa hadi juzi Manara alikuwa hajapewa nakala ya hukumu yake?
Vipi Nako kushabikia mikia fc🦁./Lunyasi🚶Kushabikia Yanga ni uwendawazimu wa asili
Kushabikia simba ni jambo jema ni kama vile mtu aliyefanikiwa kupata mwenza wa kufanana naye.Vipi Nako kushabikia mikia fc🦁./Lunyasi🚶
Ila yeye kukejeli maumbile ya wengine wewe unaona poa? Unakumbuka alikuwa anamuita Mwakalebela kilo 800? Hivi Haji Manara ndiye zeruzeru pekee katika nchi hii, mbona wengine hawakejeliwi? Ukiishi kwenye nyumba ya kioo usianze kuwarushia watu nawe.Ndugu usitaje uzeruzeru maana hakupenda azaliwe hivyo ni kazi ya Mungu, kumbuka wewe unazaa pia, utakuja zaa zeruzeru
Sijawahi kuwa mpambe wa kiumbe chochote kile hapa duniani. Mimi ni mtu nisiyeweza kuvumilia uonevu.Maneno mnayo nyie wapambe wake ,huko alikoyakanyaga anaenda kupokea nyundo tu.
Mnavyojua kujidanganya sijui mlisomea wapi!Hiyo jeuri ya kumfungia, hawana.
Anaye jidanganya ni nani sasa! Si muwashawishi hao mashabiki wenzenu wampe adhabu! Mimi nimetoa tu mtazamo wangu.Mnavyojua kujidanganya sijui mlisomea wapi!