Zao la kumnyima Haji Manara nakala ya hukumu hili

Chanzo chote Ni viongozi kutotambua nafasi zao, Karia ushabiki wako kwa timu flani utakumaliza. Tambua nafasi uliyokuwa nayo, mapenzi yako na ushabiki wako weka pembeni otherwise anguko lako li karibu Sana.
Huyu Wallace Karia ana mambo ya hovyo. Kwanza anapenda kujiona kama mtu special sana! Halafu ni mtu asiyeweza kuficha kabisa ushabiki wake kwa timu kama Coastal Union na Simba!

Sasa kila mtu anheamua kufanya kama anavyo fanya yeye, si mpira wetu ungeharibika kabisa.

Ana mengi sana ya kujifunza kwa Leodgar Chilla Tenga. Katika uongozi wake uliotukuka pale TFF, sijawahi kusikia hata siku moja tuhuma za kuipendelea timu, au kuwaumiza watu wa upande fulani.
 
Katika situation yoyote ile usicheke ulemavu wa mtu kumbuka huu ni mpira tu
Ila sope kumdhihaki Mwakalebela kumuita kilo 800 kutokana na maumbile yake mnaona sawa. Huyu hatumuachi ng'o mpaka na yeye ajifunze kuheshimu wengine. Mbona mazeruzeru wapo wengi tu kwanini Haji Manara tu?
 
Wanasheria wengi wa utopolo ni vilaza ndio maana waliwaaminisha Morison ana mkataba yanga wakatumia pesa kukata rufaa case matokeo yake wakashindwa na kulipa faini juu.
Hukumu yoyote ukiondoa chombo Cha mwisho kukata rufaa mhukumiwa ana haki ya kukata rufaa lakini anatakiwa kukata rufaa ndani ya muda uliowekwa, muda huo unaanza kuhesabika pale Alipewa nakala ya hukumu hivyo Hoja zako hazina mashiko
 
Kweli Yanga wapumbavu wengi sana, yaani zeruzeru afanye ujinga wake tena wa kujirudia rudia na anaamua kuiunganisha taasi kwenye upuuzi wake nao wanamuunga mkono.
Nilitegemea kuona neno amesha pewa hukumu
Manara kafanya ujinga ndio hatukatai Basi apewe hukumu ya huo ujinga wake
 
Kisheria nakala ya hukumu hutoka baada ya siku 30
 
Kushabikia simba ni jambo jema ni kama vile mtu aliyefanikiwa kupata mwenza wa kufanana naye.

Tatizo la Yanga ni kutoheshimu taratibu na miongozo hata wanayojiwekea.

Haji Manara na Hassan Bumbuli nani msemaji rasmi wa klabu?
Majeneza fc anajiona ameuliza swali la msingi sana 😃😃😃
 
Ila yeye kukejeli maumbile ya wengine wewe unaona poa? Unakumbuka alikuwa anamuita Mwakalebela kilo 800? Hivi Haji Manara ndiye zeruzeru pekee katika nchi hii, mbona wengine hawakejeliwi? Ukiishi kwenye nyumba ya kioo usianze kuwarushia watu nawe.
Kwahiyo wewe ni mwakalebela au mkewe mwakalebela?
 
Ila sope kumdhihaki Mwakalebela kumuita kilo 800 kutokana na maumbile yake mnaona sawa. Huyu hatumuachi ng'o mpaka na yeye ajifunze kuheshimu wengine. Mbona mazeruzeru wapo wengi tu kwanini Haji Manara tu?
Hivi wewe ni mwakalebela au mke wa mwakalebela?
 
Kama ndivyo mbona hamumpi ninyi tff hizo nakala za hukumu,mnaogopa nini?
 
Haji ni muajiriwa wa Yanga,na tatizo lake limetokea akiwa Yanga,watakachofanya tff hapo ni kumuandikia barua ya onyo mwajiri wake ambae ni Yanga,so tatizo linabakia kwa mwajiri wake kumuambia mwajiriwa wake Haji Manara
 
Ila yeye kukejeli maumbile ya wengine wewe unaona poa? Unakumbuka alikuwa anamuita Mwakalebela kilo 800? Hivi Haji Manara ndiye zeruzeru pekee katika nchi hii, mbona wengine hawakejeliwi? Ukiishi kwenye nyumba ya kioo usianze kuwarushia watu nawe.
Wewe ndo Mwakalebela? Na mbona kipindi hicho hukumkosoa?
 
Kiongozi wa FA unaingia uwanjani na jezi ya timu mojawapo inayocheza fainali? Refa wa fainali ya uefa alibadilishwa kwa kitendo cha kukubali kupokea tu jezi ya Barca. Lakini Tanzania Rais wa FA anaingia kama shabiki na akikumbana na maneno ya kishabiki anafungua mashitaka.
Marehemu Shigela Nswima alikuwa mkuu wa mkoa wa Rukwa kipindi Fulani ukatokea msiba. Kuna Mzee mmoja mjaruo wakati wa mazishi kwa sababu ya utani akatangulia kaburini wamzike au apewe hela na wafiwa. Kuona hivyo RC akaamuru Polisi wamkamate kwa kuleta fujo mazishini na ndugu zetu hawana dogo akawekwa ndani. Nilichowashukuru ndugu wa marehemu, maiti haikuzikwa mpaka Mtani alipotolewa lockup na kupewa elfu 20 yake kipindi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…