Zao la mchikichi, dhahabu mpya shambani, mbegu ya kisasa na mazao mengi zaidi

Hivi kigoma hamna kiwanda kinachotumia mawese kama malighafi kwa ajili ya kutengeneza mafuta? Hii ingesaidia soko la mawese
 
Parachichi inakubali kigoma?
 
Na mwenye masikio akusikie mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa atakae hitaji miche ya chikichi karibu tukuhudumie.
Tupo SUA,Morogoro
mche 2000
0719527062/0757056472
 
Tatizo la masoko ya nje serikali nayo inasaidia kukwamisha kwa kiasi fulani special Air Port wanakuwa wasumbu sana sana matokeo yake Kenya ananunua bidhaa zetu na kujibandika jina lake Made in kenya kumbe ni bidhaa ya Tanzania .Suala hili serikali ichukue jitihada maalum ya kuwasaidia wananchi wanaoepeleka vitu vyetu nje ya nchi na sio east afrika tu
 
Hivi kwa dar ni wapi kuna kiwanda cha kutengemeza mafuta ya mawese au mashine ya kutengenezea mafuta ya mawese ni kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…