Hatima ya zao la pamba kwa mkoa wa Shinyanga lipo mashakani baada ya kampuni kubwa na yenye nguvu - Cargill kusitisha kazi zake katika nchi ya Tanzania.
Sababu za kampuni hiyo kusitisha kazi zake pata nakala ya barua iliyoambatanishwa hapa.
Pia nimeambatanisha nakala inayoelezea historia ya kampuni hiyo kwa ufupi.
Pia pata nakala ya viongozi wake ukizingatia ni family owned coy.
1. Nini hatima ya zao la pamba mkoa wa Shinyanga?
2. What are the other general impacts of this business closure apart from employees?
3. What you think on leadership skills for black people? Je, black people tuna akili ndogo according to previous comments as well as Pr. Kalugendo alishawahi kuongelea sana juu ya uwezo wetu hata kwenye mambo yetu nyeti kwa maendeleo ya jamii nzima?
Need your comments on this very shocking issue, pls contribute some ideas or something else!