Zao la Vanilla

Yaani kama unaamua kulima kisa umesikia vanila kilo 1M siku ukifika sokoni ndiyo unagundua balaa ulilolivaa.

Hata hivyo kwa maoni yangu 30K kwa kilo bado ni fair unlike mahindi.
 
Vanilla inahitaji maji ya wastani,kivuli , mbolea, wakati wa pollination mtu awepo shambani kuoanisha.. Ua lisipohudumiwa ndani ya saa 5 imekula kwako. Zikisha komaa ulinzi 24/7 ni muhimu tena ulinzi madhubuti sio wa virungu na panga.
 
Kwa nini inahitajika ULINZI mkuu? Kuna uwezekano wa kuibiwa? Mkuu tupe fact kidogo kuhusiana na hii issue.
 
Yaani kama unaamua kulima kisa umesikia vanila kilo 1M siku ukifika sokoni ndiyo unagundua balaa ulilolivaa.

Hata hivyo kwa maoni yangu 30K kwa kilo bado ni fair unlike mahindi.
Huko Madagascar inauzwa hadi usd180 kwa nini huku kwetu iuzwe bei rahisi hivi???
 
Kuna mdau kakupa jibu sababu ni grade na Madagascar wanaiuza ikiwa imeshasindikwa
Oho hapo kwenye kusindika ndo hatua zake zipoje sasa mkuu.. Mimi nikajua inakaushwa tu juani maana ukiwa kavu ndo bei inakuwa juu..
 
Dah unajua mkuu nilishawishika sana na kwa madai yao wewe ndo unaingia cost zote hadi kuvunwa ni miezi mitatu tu then wao wanakupa shamba na soko wanakutafutia. Kumbe ground mambo ni tofauti kabisa mkuu..
Kuna mdau @mystereo anauelewa kidogo na hii issue katoa mwanga kidogo hapo juu ..by the way mkuu asante sana ..
 
Oho hapo kwenye kusindika ndo hatua zake zipoje sasa mkuu.. Mimi nikajua inakaushwa tu juani maana ukiwa kavu ndo bei inakuwa juu..
Mimi sijui kitu kuhusu vanila na nafikiri unasoma kwa kuruka majibu ila majibu yapo juu hapo.

Niulize labda kuhusu alizeti, mahindi, maharage kwakua nina watu wa karibu wanaofanya hizo ishu.
 
Kama bei iko juu ni kwa nini Madagaska ni taifa maskini kiasi hicho??
Watu kuna kitu kinawapa wasi wasi kuhusu bei yake.
Nijibu swali lako madagascar ni taifa maskini kwa mtu mmoja mmoja au kwa taifa kama taifa yaani serikali.? Jiulize hapo?

Pale madagascar ni shambani tu kuna export inafanyika kupeleka nchi za waarabu na nchi za karibu na dubai kama Quatar, Jordan, Saudia, Egypt, Vile vile Israel na Malaysia.
 
Oho hapo kwenye kusindika ndo hatua zake zipoje sasa mkuu.. Mimi nikajua inakaushwa tu juani maana ukiwa kavu ndo bei inakuwa juu..
Mkuu tatizo ya hili zao hapa Tanzania wengi hasa kule bukoba wanalima na kufika hatua ya uvunaji, wafanyabiashara au niseme kampuni zinapenda kununua Vanila mbichi na wao wanaenda kukausha kwa viwango wanavotaka wao.

Vanila ukiona inafaa kukausha unaweza ukafanya hivo ila utafanya usindikaji hapa kuna hatua kama kuichemsha vanila kwa Temperature fulani ukitumia Thermometer ili ikifika limit inayotakiwa unastop zoezi. Endapo utasindika vibaya na utakausha vibaya hutopata taste ya vanila inayohitajika hivyo vanila yako itaharibika na hutoweza kuuza. Na kwa sababu vanila hutumika kwa matumizi mbali mbali kama keki, kuongeza ladha ya vyakula na vinywaji, manukato na mafuta, n.k hivyo ni lazima vanila iwe na ukavu unaotakiwa.

Huu hapa mfano wa Vanila kavu

Bukoba hawakaushi kwa sababu wengi wanaogopa wezi. ikikomaa anauza kwa bei ya shambani, hakuna kubeba risk.
 
Aha kumbe kuna namna ya kukausha ..nikajua inaekwa tu juani ina kauka..
 
Bukoba hawakaushi kwa sababu wengi wanaogopa wezi. ikikomaa anauza kwa bei ya shambani, hakuna kubeba risk.
Kukausha peke yako inakuwa risk sana waweza kukosa soko kwa sababu ya bei mkuu?!
 
Gharama za kulima vanila zipo juu mno. Achana nalo litakufilisi.
Linahitaji nguvukazi na muda mwingi sana kulihudumia, hiyo kilo moja kuipata si mchezo. Kiufupi lina bei kubwa ila faida ni ndogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…