Zari achaguliwa kuwa msimamizi mkuu wa mali za marehemu Ivan Ssemwanga

Pia ametakiwa aishi na watoto wake wote kwenye nyumba moja na nyingine ipangishwe

nilishasema Kitendo cha Zari kuwa busy msibani Dayamondi aijipange Upya........ Wenye hulka ya Kuzaa na Mwanamke ambaye amezaa na Mwanaume Mwingine wapate fundisho

Asante.
 
Kwani kitu gani kimeharibika mkuu ...kumbuka dai na zari sio wanandoa so watoto wakikaa kwa zari sioni shida
 
mondi may B...is da next mission...WATCH OUT...mo 2 come...!!

Stay far wid UGANDAN....
 
Naona aliambiwa kama anataka awe msimamizi basi akaishi na watoto kwenye nyumba ya marehemu baba yao, mtego huo ina maana diamond akienda kuishi hapo Zari ananyanganywa mandate. Chezea pesa wewe. Diamond lile hekalu ulilonunua south zari alipokudanyanya nyumba wanayoishi ni ya kupanga, Ivan hana nyumba. Leo Zari kaumbuka. Ndo maana Diamond leo kampost mama yake na kusema ni his real woman of his Life.
 
Wakuu vipi hile ya ku fake kifo imeishia wap!?
 
Mkuu hiyo imetoka...ikirudi ni pancha..

Inakuja movie mpyaa sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji16] [emoji125]
..nipo IG sasa naisakua ili nielewe ikoje maana tamu sana...


Trillion 3 siyo mchezo dada.
 
Mwanamke sio mwenzako, atakuacha utakufa bado atarudi kusimamia mali zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…