Zari achaguliwa kuwa msimamizi mkuu wa mali za marehemu Ivan Ssemwanga

Zari achaguliwa kuwa msimamizi mkuu wa mali za marehemu Ivan Ssemwanga

Asiyesikia la mkuu huvunjika guu. Mondi alionywa sana haswa na mama na ndugu zake lakini hakusikia. Matokeo yake wakaishia kuitwa waswahili wa tandale. Bora Tandale kuliko yatakayomkuta huko aendako. Akitia mguu huko King Laurence atamnyonyoa kwa maji moto, na hivi alikuwa hampendi tangu mwanzo Mmmmmhhhh! Bora ungejibakia na Wema wako, ukamrekebisha polepole. I really pitty you Mondi.
 
Ivi mali za Ivan zilikuwa chache kuliko za Dai ambapo Zari alishawishika kumuacha Ivan na kwenda kwa Dai?
Ebu nifafanulieni wakuu
 
nmefurahi sana dai kavuna alichokipanda..ni marufuku kukanyaga kwa don ivan,,mara oo hana nyumba sasa ww kanyaga pale ukutane na king law akufurahishe,,,
Haya ni mambo ya kifamilia.
Lakini usisahau kwamba daimond ana nyumba sauzi
Lakini kiufupi hii familia ipo kwenye matatizo.
Zari achague mume au watoto.
 
Amelazimishwa aishi na watoto kwenye nyumba moja kati ya hizo nyumba mbili?

Huwezi kulazimishwa pa kuishi wala nani wa kuishi nae. Hakuna kitu kama hicho.
 
Sunian mapito tuuuu ila zaki hatak mzaha kweny ujinga then ni mtu mwelewa sana anajiamin na hata hvyo mtt dangote hana njaa za kijinga anampa faraja sana zali ktk kipind hki kigumu maana upewe mzgo wa mali zote za ivan ndugu lazima wakutingishe
 
Naona aliambiwa kama anataka awe msimamizi basi akaishi na watoto kwenye nyumba ya marehemu baba yao, mtego huo ina maana diamond akienda kuishi hapo Zari ananyanganywa mandate. Chezea pesa wewe. Diamond lile hekalu ulilonunua south zari alipokudanyanya nyumba wanayoishi ni ya kupanga, Ivan hana nyumba. Leo Zari kaumbuka. Ndo maana Diamond leo kampost mama yake na kusema ni his real woman of his Life.
Kweli mjini msingi kiuno



Ila wamembana makusudi.


Na wamechagua wasaidizi wote hao makusudi ili kum monitor zarina....... hela ya watoto isije liwa bata buuure
 
Inamaana zari hatokuja madale kwa dogo tena ?
Kwenye urithi tiffah na nilan wamemwagwa pia hata kupewa kigari kimoja..?

Anyway madale kuweni wapole katika kipindi hiki kigumu kwenu.
 
Back
Top Bottom