Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
you guys are complicate things here,
i think everything is under control,
let us wish them joy and happiness.
i think everything is under control,
let us wish them joy and happiness.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa wamemtega ,kwani asipoishi kwenye hiyo nyumba wanampa baninimependa hapo kuwa anapaswa kuishi na watoto kwenye nyumba moja wapo ya marehemu hapo SA.
hapa wamemtega ,kwani asipoishi kwenye hiyo nyumba wanampa bani
Sijui kwa wenzetu lakini huku kwetu haruhusiwi kuingiza me ktk nyumba hiyo la sivyo ajitoe ndio maana ya kuambiwa "kaishi na watoto wako" kwenye nyumba mojawapo.Kwa hiyo chibu naye ataenda kuishi huko??
Kwa kweliTunawatakia kila la kheri, Mungu awaongoze.
Zari aliachana na ivan kabla hajakutana na dai.Ivi mali za Ivan zilikuwa chache kuliko za Dai ambapo Zari alishawishika kumuacha Ivan na kwenda kwa Dai?
Ebu nifafanulieni wakuu
Poa poa mkuuZari aliachana na ivan kabla hajakutana na dai.
Haya ni mambo ya kifamilia.nmefurahi sana dai kavuna alichokipanda..ni marufuku kukanyaga kwa don ivan,,mara oo hana nyumba sasa ww kanyaga pale ukutane na king law akufurahishe,,,
Mzigo wote atauhamishia kwa dangote Jr
Dah kweli huyu demu amekaa kizali zali
Kweli mjini msingi kiunoNaona aliambiwa kama anataka awe msimamizi basi akaishi na watoto kwenye nyumba ya marehemu baba yao, mtego huo ina maana diamond akienda kuishi hapo Zari ananyanganywa mandate. Chezea pesa wewe. Diamond lile hekalu ulilonunua south zari alipokudanyanya nyumba wanayoishi ni ya kupanga, Ivan hana nyumba. Leo Zari kaumbuka. Ndo maana Diamond leo kampost mama yake na kusema ni his real woman of his Life.
Diamond ameoa??? Huu ubuyu mbona umenipitaMambo ya mirathi hapo hao wote wana haki ya kusimamia labda huyo zarina angekuwa ni mke wa Ivan bahati mbaya alimkimbia Mme wake na kuolewa na diamond
Wanajua kabisa hatoweza lazima ailete madale ipigwe na hapo ndio jamaa watamkamatia chini.mleta uzi kasema "Pia ametakiwa aishi na watoto wake wote kwenye nyumba moja na nyingine ipangishwe."
huu ni mtego naona