Nadhani Mond ajitafakari ikibidi aachie ngazi kama alivyofanya Prof. Muhongo[emoji23] [emoji23]
Najua inauma sana lakini hakuna namna imeshafahamika kwamba Zari yuko kimaslahi
Yaani kabisa we unampa lawama Zari kwa kukataa kusimamia zile Mali?!Nadhani Mond ajitafakari ikibidi aachie ngazi kama alivyofanya Prof. Muhongo[emoji23] [emoji23]
Najua inauma sana lakini hakuna namna imeshafahamika kwamba Zari yuko kimaslahi
Bi.mkubwa kishajiwahi nyumba ya Madale yake.Diamond andika usia kabisa baba usituachie mitafaruku
Mlitaka Zari afanye nini kwani???Nadhani Mond ajitafakari ikibidi aachie ngazi kama alivyofanya Prof. Muhongo[emoji23] [emoji23]
Najua inauma sana lakini hakuna namna imeshafahamika kwamba Zari yuko kimaslahi
Wabongo wachawi ni hakuna... You are in your own level of witchcraft aiseeeeemondi may B...is da next mission...WATCH OUT...mo 2 come...!!
Stay far wid UGANDAN....
Hahahahaaandugu wabongo siye hatuwezi kusimamia Mali kama hzo we si umeona mwenyewe rambirambi tu za misiba watu macho kodokodo.
nimependa hapo kuwa anapaswa kuishi na watoto kwenye nyumba moja wapo ya marehemu hapo SA.
Naona aliambiwa kama anataka awe msimamizi basi akaishi na watoto kwenye nyumba ya marehemu baba yao, mtego huo ina maana diamond akienda kuishi hapo Zari ananyanganywa mandate. Chezea pesa wewe. Diamond lile hekalu ulilonunua south zari alipokudanyanya nyumba wanayoishi ni ya kupanga, Ivan hana nyumba. Leo Zari kaumbuka. Ndo maana Diamond leo kampost mama yake na kusema ni his real woman of his Life.
Mambo ya mirathi hapo hao wote wana haki ya kusimamia labda huyo zarina angekuwa ni mke wa Ivan bahati mbaya alimkimbia Mme wake na kuolewa na diamondhao watatu ni washika pembe tu hapo incase ikitokea sintofahamu yoyote " thebosslady" ndo dereva uyo kinglawrence atafute kazi
Nasikia alikiri kwenye familia ya Ivan kuwa hata yule mtoto wake wa mwisho ni wa Ivan na sio diamond ( Maelezo haya yalitolewa na baba mdogo wa Ivan na ushahid wa video wanao wao kama familia )mleta uzi kasema "Pia ametakiwa aishi na watoto wake wote kwenye nyumba moja na nyingine ipangishwe."
huu ni mtego naona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]LE MUTUZ....
Anaweza kutoa siri si Maelezo ya baba mdogo wa Ivan wanasema huyo demu alisema hata hao watoto ni wa Ivan na hasa huyo wa mwisho ukimuangalia kafanana sana na Ivan (sitak kusema marehemu maana kuna tetesi yupo hao somewhere ana enjoy zake $150 million alizopiga mchongo)Hili litakuwa gumu kulitimiza kama DP hatataka watoto wake waishi katika nyumba mojawapo ya za Ivan lakini bila shaka watalitafutia ufumbuzi.
Kwahiyo tatizo ni kuwa bize msibani au kuwa sehemu ya wasimamizi wa hizo mali?!Pia ametakiwa aishi na watoto wake wote kwenye nyumba moja na nyingine ipangishwe
nilishasema Kitendo cha Zari kuwa busy msibani Dayamondi aijipange Upya........ Wenye hulka ya Kuzaa na Mwanamke ambaye amezaa na Mwanaume Mwingine wapate fundisho
Asante.
Huo ni uamuzi wa busara kuliko vinginevyo.nimependa hapo kuwa anapaswa kuishi na watoto kwenye nyumba moja wapo ya marehemu hapo SA.
Nadhani hiyo ni "technical" term tu! Theoretically, ilikuwa ni lazima ipitishwe kwamba Zari aishi kwenye nyumba moja na watoto kwa sababu kinyume chake ni kuruhusu nyumba zote zipangishwe jambo ambalo lisingekuwa sahihi kwa sababu kuna watoto!!!Hili litakuwa gumu kulitimiza kama DP hatataka watoto wake waishi katika nyumba mojawapo ya za Ivan lakini bila shaka watalitafutia ufumbuzi.
kabisa bora mondi angekuwa na mindset ya kizungu bt yeye na familia yake waswahiliiiii kabla hata Ivan hajafa kuna siku alipost kijembe kuusu iyo nyumba aliyonunuaNadhani hiyo ni "technical" term tu! Theoretically, ilikuwa ni lazima ipitishwe kwamba Zari aishi kwenye nyumba moja na watoto kwa sababu kinyume chake ni kuruhusu nyumba zote zipangishwe jambo ambalo lisingekuwa sahihi kwa sababu kuna watoto!!!