Zari afulia ,avaa BALENCIAGA FEKI Za elfu 10 ,10 Kkoo.

Utakuta mleta mada ana mwili kama hiyo njemba hapo.
 
Kabla hata sijafungua huu uzi..nilijua mtunzi wake lazima awe Hance
 
Halafu hata kama ni kweli mtu kafulia wewe unafaidika nini haswa? Huu ndio uchawi halisi sasa.
 
Dah watu mnachunguza mpaka vitu vya kijinga, mimi mwanamke na mtizama tako na sura yake nguo hazinuhusu sana.
 
Wewe kibuyu wacha kumfananisha zari na hao mende wengine
 
Kwani hela mavazi mbona wanavaa nguo za kawaida tu ila sie tusiokuwa nazo sasa tunataka kuvaa brand za thamani kweli
 
Ww utakuwa shoga sio kwa tabia hizi za kike.. mkuu watu wanajipigia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…