Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kate's [emoji23]Nimeshangaa alivosema 70000 si hata Mimi kapuku ningedunduliza nikawa navyo!!
Nimeshangaa alivosema 70000 si hata Mimi kapuku ningedunduliza nikawa navyo!!
Cha ajabu unazifatilia na kucomment juu doh!!!Post zake zinatia kinyaa!
Kuna mdau aliuliza au jamaa analipwa? Hebu jibu kwaniabaCha ajabu unazifatilia na kucomment juu doh!!!
Hance analipwa....Kuna mdau aliuliza au jamaa analipwa? Hebu jibu kwaniaba
halafu AnapumuliwaUtakuta mleta mada ana mwili kama hiyo njemba hapo.
Hahaa. Hivi lkn serious Eve ukiwa na boyfriend mmbea mmbea hivi utakuwa proud naye hivyo?Hance analipwa....
Huyo jamaa na wewe mnavokuja kusoma umbea mnalipia?
Ningekua sina Mme ningekua na uhusiano na hance mtanashatiHahaa. Hivi lkn serious Eve ukiwa na boyfriend mmbea mmbea hivi utakuwa proud naye hivyo?
Muonekano tu wake tu unaonesha ni feki ,zile OG huwa zinang'aa sana halafu zinabana mguu.Hance wa tunda hizo feki unazijuaje
Mleta mada pole. Siku nyingine usikurupukeView attachment 928264