King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Unamcheka Zari kavaa fekiwakati chumba unacholala wewe hata mbwa wa zari hawezi kukubali kulalaHa ha ha ha ha Zarina Hassan anapata tabu sana ,sidhani hata hiyo a.k.a ya Zari The Bosslady kama anaitendea haki.
sawaUnamcheka Zari kavaa fekiwakati chumba unacholala wewe hata mbwa wa zari hawezi kukubali kulala
Mara nyingi watu wenye maisha ya chini kama wewe mnapenda sana kuwadhalilisha watu waliowazidi,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unamcheka Zari kavaa fekiwakati chumba unacholala wewe hata mbwa wa zari hawezi kukubali kulala
Mara nyingi watu wenye maisha ya chini kama wewe mnapenda sana kuwadhalilisha watu waliowazidi,
Itendee haki avitor yako. Inaonekana ya mtu makini kumbe Team Hamisa??Ha ha ha ha ha Zarina Hassan anapata tabu sana ,sidhani hata hiyo a.k.a ya Zari The Bosslady kama anaitendea haki.
Hivi kweli mtu kama Bosslady unaweza ukavaa kiatu cha elfu 10????? Balenciaga zile OG kabisa zinauzwa kuanzia elfu 70 na kuendelea ingawa siku hizi zimeshuka bei mpaka elfu 50 unapata, lakini Zari kavuka mpaka kaamua kuvaa Balenciaga ya 10K [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ama kweli kufulia nako ni K.
Kwa ambao wameshawahi kuvaa Balenciaga watakubaliana na mimi kwamba Balenciaga za Zari ni feki.View attachment 928216
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah Aise Huyu Jamaa Anayejiitaga Hance Mtanashati Hata Umcommentie Matusi Kwenye Thread Zake Ni Sawa Na Kufanya Kazi Bure Na Mwisho Wa Siku Unaona Aibu Mwenyewe Ukitaka Kuamini Hilo We Mcommentie Matusi Hlf Baada Ya Kucomment Matusi Rudi Ucheki Avatar Yake Yaan Yuko Km Vile Anakucheka Huku Anakunyooshea Kidole