Zari afulia ,avaa BALENCIAGA FEKI Za elfu 10 ,10 Kkoo.

Zari afulia ,avaa BALENCIAGA FEKI Za elfu 10 ,10 Kkoo.

Acha kulumbana na watoto wa KIKE mkuu....Wacha kina SEPEDE na MOBEDE ndio wamkosoe na si wewe mwenye MAMBUPU yananing'inia kama kengele za kanisani.
 
Ha ha ha ha ha Zarina Hassan anapata tabu sana ,sidhani hata hiyo a.k.a ya Zari The Bosslady kama anaitendea haki.
Unamcheka Zari kavaa fekiwakati chumba unacholala wewe hata mbwa wa zari hawezi kukubali kulala
Mara nyingi watu wenye maisha ya chini kama wewe mnapenda sana kuwadhalilisha watu waliowazidi,
 
Msanii akirudia kiatu mnamnanga,mwache avae mara moja na kukigawa kwa maskini kama wanavyofanyaga.
 
Unamcheka Zari kavaa fekiwakati chumba unacholala wewe hata mbwa wa zari hawezi kukubali kulala
Mara nyingi watu wenye maisha ya chini kama wewe mnapenda sana kuwadhalilisha watu waliowazidi,
sawa
 
Namshangaa sana konk konk konk master,capafona,dirty oil,mapafu ya mbwa,mamba ajakutaja ktk list yenu au anakukula 0653?maana we koro mmbea kuliko mnyakyusa na msafa.
 
Unamcheka Zari kavaa fekiwakati chumba unacholala wewe hata mbwa wa zari hawezi kukubali kulala
Mara nyingi watu wenye maisha ya chini kama wewe mnapenda sana kuwadhalilisha watu waliowazidi,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Ova
 
Tuoneshe Zako Original,
Zali Atabak Kuwa Bosslady Tu Hata Kama Akivaa Kiatu Cha 1000
 
Ha ha ha ha ha Zarina Hassan anapata tabu sana ,sidhani hata hiyo a.k.a ya Zari The Bosslady kama anaitendea haki.

Hivi kweli mtu kama Bosslady unaweza ukavaa kiatu cha elfu 10????? Balenciaga zile OG kabisa zinauzwa kuanzia elfu 70 na kuendelea ingawa siku hizi zimeshuka bei mpaka elfu 50 unapata, lakini Zari kavuka mpaka kaamua kuvaa Balenciaga ya 10K [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ama kweli kufulia nako ni K.

Kwa ambao wameshawahi kuvaa Balenciaga watakubaliana na mimi kwamba Balenciaga za Zari ni feki.View attachment 928216
Itendee haki avitor yako. Inaonekana ya mtu makini kumbe Team Hamisa??
kama wewe mwamaume leta mada za kidume au tukushitaki kwa Makonda
 
U can't compare na zari hata akiamua kuvaa gunia. She has sources za pesa
 
Dah Aise Huyu Jamaa Anayejiitaga Hance Mtanashati Hata Umcommentie Matusi Kwenye Thread Zake Ni Sawa Na Kufanya Kazi Bure Na Mwisho Wa Siku Unaona Aibu Mwenyewe Ukitaka Kuamini Hilo We Mcommentie Matusi Hlf Baada Ya Kucomment Matusi Rudi Ucheki Avatar Yake Yaan Yuko Km Vile Anakucheka Huku Anakunyooshea Kidole
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umbea ukifanywa na mwanaume jua ni dalili za siku za mwisho
 
Back
Top Bottom