hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaa sikuwa nime subscribe ule uzi ... poa haina shidaHilo suala tumeshalijadili kwenye ule uzi wa Evelyn Salt.
Tujadili ufeki wa viatu vya Zari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaa sikuwa nime subscribe ule uzi ... poa haina shidaHilo suala tumeshalijadili kwenye ule uzi wa Evelyn Salt.
Tujadili ufeki wa viatu vya Zari.
Ila Diamond alifaidi,ningepata mmam kama huyu ningemzalisha vitoto kadhaa piaHa ha ha ha ha Zarina Hassan anapata tabu sana ,sidhani hata hiyo a.k.a ya Zari The Bosslady kama anaitendea haki.
Hivi kweli mtu kama Bosslady unaweza ukavaa kiatu cha elfu 10????? Balenciaga zile OG kabisa zinauzwa kuanzia elfu 70 na kuendelea ingawa siku hizi zimeshuka bei mpaka elfu 50 unapata, lakini Zari kavuka mpaka kaamua kuvaa Balenciaga ya 10K [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ama kweli kufulia nako ni K.
Kwa ambao wameshawahi kuvaa Balenciaga watakubaliana na mimi kwamba Balenciaga za Zari ni feki.View attachment 928216
nimecheka mpaka nikadondoka ,jf SIHAMINamuona yuko na Dudu Baya hapo. Konky Master ndio anakula mzigo siku hizi?
We jamaa bila shaka ni shoga.Mwanaume unajadili umbea kama mwanamke??duuuh.Nikigundua wewe ni kaka yangu nakuchinja shingo siku hiyohiyo ukafie mbali ili kuepuka laana.Kweli wanaume wanazidi kupotea duniani.Nina uhakika 100% huna marindaBwabwa wewe.Ha ha ha ha ha Zarina Hassan anapata tabu sana ,sidhani hata hiyo a.k.a ya Zari The Bosslady kama anaitendea haki.
Hivi kweli mtu kama Bosslady unaweza ukavaa kiatu cha elfu 10????? Balenciaga zile OG kabisa zinauzwa kuanzia elfu 70 na kuendelea ingawa siku hizi zimeshuka bei mpaka elfu 50 unapata, lakini Zari kavuka mpaka kaamua kuvaa Balenciaga ya 10K [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ama kweli kufulia nako ni K.
Kwa ambao wameshawahi kuvaa Balenciaga watakubaliana na mimi kwamba Balenciaga za Zari ni feki.View attachment 928216
Mleta mada amekurupuka, Zari amelipwa zaidi ya milioni 80 kwa ajili ya kutangaza na kuwa balozi wa utalii Uganda alarm avae viatu fekiHans umekurupuka angalia hapa
Usimfananishe zari na wengineo utaumia..umesema og elfu sabini ukiconvert 78- 95usd kibongo ni bei gani vile[emoji23][emoji23][emoji23]
Pia angalia viatu alivyovyaa kabla usd 950 ni sawa na sh ngapi za kitz vile?? Ni zaidi ya million mbili... So huyu dada humuwezi rudi kwa akina uwoya na wemaView attachment 928342View attachment 928343View attachment 928344
Ndicho kinachotokea kwa mwanaume wa leo.Kuna mengi ya kujadili kama mwanaume ila sio ufala kama wa huyu mtoa post.KWENYE NCHI YA WANAUME HUYU TUNGESHAMPIGA SHABA YA KICHWA,NA MWILI TUNGEWAPA SAMAKI WALE.Hii tabia ya wanaume kufatilia hadi aina ya viatu vya mademu inatoka wap??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mleta mada pole. Siku nyingine usikurupukeView attachment 928264
Mleta mada amekurupuka, Zari amelipwa zaidi ya milioni 80 kwa ajili ya kutangaza na kuwa balozi wa utalii Uganda alarm avae viatu feki
Mleta mada pole. Siku nyingine usikurupukeView attachment 928264
Wivu.com
NakaziaNi maamuzi yake. Kwani ushawahi kumsaidia kuzitafuta hizo hela???
Mind your own business
Nimeshangaa balencia Og ya 70k...Hans umekurupuka angalia hapa
Usimfananishe zari na wengineo utaumia..umesema og elfu sabini ukiconvert 78- 95usd kibongo ni bei gani vile[emoji23][emoji23][emoji23]
Pia angalia viatu alivyovyaa kabla usd 950 ni sawa na sh ngapi za kitz vile?? Ni zaidi ya million mbili... So huyu dada humuwezi rudi kwa akina uwoya na wemaView attachment 928342View attachment 928343View attachment 928344
Nimeshangaa alivosema 70000 si hata Mimi kapuku ningedunduliza nikawa navyo!!Hans umekurupuka angalia hapa
Usimfananishe zari na wengineo utaumia..umesema og elfu sabini ukiconvert 78- 95usd kibongo ni bei gani vile[emoji23][emoji23][emoji23]
Pia angalia viatu alivyovyaa kabla usd 950 ni sawa na sh ngapi za kitz vile?? Ni zaidi ya million mbili... So huyu dada humuwezi rudi kwa akina uwoya na wemaView attachment 928342View attachment 928343View attachment 928344
Halafu kuna mademu humu wanaanzisha hadi Uzi kumtetea na yeye tako linavimba hiloooo anaona yupo sawa tu,ndio ni celebrities forums ila sasa tuangalie na ya kuongelea kutokana na jinsia zetu,jambo kama hili sio la kujadiliwa na mwanaume kabisa yaani..Ndicho kinachotokea kwa mwanaume wa leo.Kuna mengi ya kujadili kama mwanaume ila sio ufala kama wa huyu mtoa post.KWENYE NCHI YA WANAUME HUYU TUNGESHAMPIGA SHABA YA KICHWA,NA MWILI TUNGEWAPA SAMAKI WALE.