Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
HahaahaWema kabakia kuonesha Makalio yake yenye Dimpoz
Cha ajabu unaweza shangaa huyo alieropoka hapo hana hata mtoto wa kusingiziwa. Hlf mtoto wa kwanza wa Zari ana 15 yrs km sijakoseaHuna hata haya kuwaita hivyo watoto wa mtu.. wako badi utakuwa unawaita maneno mabovu na ya dharau.. muwe mnaweka akiba ya maneno.. subiria uje usikir wako wanaitwaje na kudharaulikaje na wewe ndani.
Kaumbuka kivipi?
Mapenzi ametapata.. na mengi juu.. na ndio maana unekimbilia kumsoma wewe mshabiki mpenda kujua ya maisha yake..
😀😀😀 Dah wabongo nomaDuh hiyo ndio mitoto yake?!
Kweli huyu mama hana haya.
Kaumbuka kwa mtoto wa Tandale
Huwa sielewi watu wakiongelea umri was Zari. Chibu ni muislamu na kwa waislamu kuoa mwanmake aliyekupita umri ni sunna. Bibi wa kwanza wa Mtume Muhammad saw, alimpita na miaka 15. Ndoa ikadumu kwa miaka 25 na alikuwa mke peke. Age is an issue of mind over matter, if you dont mind, it dont matterDuh hiyo ndio mitoto yake?!
Kweli huyu mama hana haya.
Kaumbuka kwa mtoto wa Tandale
Bibi wa mwisho alikuwa na miaka tisaHuwa sielewi watu wakiongelea umri was Zari. Chibu ni muislamu na kwa waislamu kuoa mwanmake aliyekupita umri ni sunna. Bibi wa kwanza wa Mtume Muhammad saw, alimpita na miaka 15. Ndoa ikadumu kwa miaka 25 na alikuwa mke peke. Age is an issue of mind over matter, if you dont mind, it dont matter
Lazima Zari anakufikisha wewe is Kwao mapenzi hayaHuna hata haya kuwaita hivyo watoto wa mtu.. wako badi utakuwa unawaita maneno mabovu na ya dharau.. muwe mnaweka akiba ya maneno.. subiria uje usikir wako wanaitwaje na kudharaulikaje na wewe ndani.
Kaumbuka kivipi?
Mapenzi ametapata.. na mengi juu.. na ndio maana unekimbilia kumsoma wewe mshabiki mpenda kujua ya maisha yake..
HahahahaWema kabakia kuonesha Makalio yake yenye Dimpoz
Lazima Zari anakufikisha wewe is Kwao mapenzi haya
Zari The Boss Lady ametua nchini Dubai kwa ajili ya kula bata na kufurahia wikiendi ikiwa ni siku chache zimepita tangu aliposaini dili la mamilioni ya fedha na kampuni moja ya nepi za watato hapa Bongo.
Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo ameweka picha kadhaa akionyesha akiwa ameongozana na watoto wake wawili akiwemo Raphael G na Lil Q.
Zari na familia yake hiyo wamefikia kwenye moja ya hoteli maarufu Dubai inayofahamika kama Dusit Residence Dubai Marina. Gharama za Kulala kwenye hoteli hiyo kwa usiku mmoja kwa bei ya chini ni takribani 385,000 hadi 1,010,000.
Hata hivyo inadaiwa kuwa ex huyo wa Diamond hivi karibuni atarudi tena Tanzania kwa ajili ya kusaini mkataba mwingine na kampuni ambayo bado haijafahamika.
View attachment 730879View attachment 730881View attachment 730882