Zari aipeleka familia yake Dubai kula bata, gharama ya hoteli waliyofikia ni balaa

Zari aipeleka familia yake Dubai kula bata, gharama ya hoteli waliyofikia ni balaa

Kwa kweli Diamond alikuwa hajitendei haki !!!
huyu mama ni mzee,alitaka amfungie kijana
ale kitu kimesoma kilometa nyingi hadi kimekomaa
ushahidi ni hao watoto.
 
Huna hata haya kuwaita hivyo watoto wa mtu.. wako badi utakuwa unawaita maneno mabovu na ya dharau.. muwe mnaweka akiba ya maneno.. subiria uje usikir wako wanaitwaje na kudharaulikaje na wewe ndani.

Kaumbuka kivipi?
Mapenzi ametapata.. na mengi juu.. na ndio maana unekimbilia kumsoma wewe mshabiki mpenda kujua ya maisha yake..
Cha ajabu unaweza shangaa huyo alieropoka hapo hana hata mtoto wa kusingiziwa. Hlf mtoto wa kwanza wa Zari ana 15 yrs km sijakosea
 
Duh hiyo ndio mitoto yake?!
Kweli huyu mama hana haya.
Kaumbuka kwa mtoto wa Tandale
Huwa sielewi watu wakiongelea umri was Zari. Chibu ni muislamu na kwa waislamu kuoa mwanmake aliyekupita umri ni sunna. Bibi wa kwanza wa Mtume Muhammad saw, alimpita na miaka 15. Ndoa ikadumu kwa miaka 25 na alikuwa mke peke. Age is an issue of mind over matter, if you dont mind, it dont matter
 
Bibi wa mwisho alikuwa na miaka tisa
 
Huna hata haya kuwaita hivyo watoto wa mtu.. wako badi utakuwa unawaita maneno mabovu na ya dharau.. muwe mnaweka akiba ya maneno.. subiria uje usikir wako wanaitwaje na kudharaulikaje na wewe ndani.

Kaumbuka kivipi?
Mapenzi ametapata.. na mengi juu.. na ndio maana unekimbilia kumsoma wewe mshabiki mpenda kujua ya maisha yake..
Lazima Zari anakufikisha wewe is Kwao mapenzi haya
 
WaBongo bana, Ishu zakawida tu wao wanaona ishu. Sasa kwenda Dubai kutumbua cha aajabu kipi?

Weye mwenyewe ukiamua kujipigapiga unafika.
 
Najiandaa kwenda Tripoli kwa mapumziko ya siku 6.
 
Lazima Zari anakufikisha wewe is Kwao mapenzi haya

Duh aiseeee
Utakuwa uneandika kutokana na mazoea.. tena wafanya kazi za usiku wana mchezo huo sana sana inajulikana baadae wanarudi kwa mabwana zao.. huwezi kuandika hauo kama huyajui.. kumbe ndivyo aiseeeeee.. halafu mnakuwq wasiri sana sana hata mabwana zenu hawawezi kuotea hayo.. ha ha haaaaaa... JF kweli burudani.. lingine?
 
Zari The Boss Lady ametua nchini Dubai kwa ajili ya kula bata na kufurahia wikiendi ikiwa ni siku chache zimepita tangu aliposaini dili la mamilioni ya fedha na kampuni moja ya nepi za watato hapa Bongo.

Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo ameweka picha kadhaa akionyesha akiwa ameongozana na watoto wake wawili akiwemo Raphael G na Lil Q.

Zari na familia yake hiyo wamefikia kwenye moja ya hoteli maarufu Dubai inayofahamika kama Dusit Residence Dubai Marina. Gharama za Kulala kwenye hoteli hiyo kwa usiku mmoja kwa bei ya chini ni takribani 385,000 hadi 1,010,000.

Hata hivyo inadaiwa kuwa ex huyo wa Diamond hivi karibuni atarudi tena Tanzania kwa ajili ya kusaini mkataba mwingine na kampuni ambayo bado haijafahamika.

View attachment 730879View attachment 730881View attachment 730882

Mwacheni mlimbwende afaidi matunda ya jitihada zake.

Mama ametulia sana huyu.
 
Ila Diamond kuachana na huyu shangingi ni sawa na kuokota dodo chini ya mnazi; kwa hapa alikua ameingia choo cha kike mbaya sana wanawake wa kiganda sio kabisa. Hongera sana chibu umeutua mzigo mkubwa sana kwa hili shangingi.. muhimu lea watoto wako basi, na atulie sasa aoe wa umri wake.
 
Back
Top Bottom