Zari aipeleka familia yake Dubai kula bata, gharama ya hoteli waliyofikia ni balaa

Zari aipeleka familia yake Dubai kula bata, gharama ya hoteli waliyofikia ni balaa

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Zari The Boss Lady ametua nchini Dubai kwa ajili ya kula bata na kufurahia wikiendi ikiwa ni siku chache zimepita tangu aliposaini dili la mamilioni ya fedha na kampuni moja ya nepi za watato hapa Bongo.

Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo ameweka picha kadhaa akionyesha akiwa ameongozana na watoto wake wawili akiwemo Raphael G na Lil Q.

Zari na familia yake hiyo wamefikia kwenye moja ya hoteli maarufu Dubai inayofahamika kama Dusit Residence Dubai Marina. Gharama za Kulala kwenye hoteli hiyo kwa usiku mmoja kwa bei ya chini ni takribani 385,000 hadi 1,010,000.

Hata hivyo inadaiwa kuwa ex huyo wa Diamond hivi karibuni atarudi tena Tanzania kwa ajili ya kusaini mkataba mwingine na kampuni ambayo bado haijafahamika.

29416737_160062578031633_26210896917299200_n-600x600.jpg
25682230.jpg
images-3.jpg
 
Duh hiyo ndio mitoto yake?!
Kweli huyu mama hana haya.
Kaumbuka kwa mtoto wa Tandale

Huna hata haya kuwaita hivyo watoto wa mtu.. wako badi utakuwa unawaita maneno mabovu na ya dharau.. muwe mnaweka akiba ya maneno.. subiria uje usikir wako wanaitwaje na kudharaulikaje na wewe ndani.

Kaumbuka kivipi?
Mapenzi ametapata.. na mengi juu.. na ndio maana unekimbilia kumsoma wewe mshabiki mpenda kujua ya maisha yake..
 
mil moja Mbona hela ya vocha kwangu.
mleta mada. unachekesha.
 
Faiza Ali ,Alihojiwa na mtangazaji mmoja akaambiwa ajiheshimu akadhan ni utani.Alidiriki kusema yupo tayari kupiga pic za utupu akipata deal nono .Hata hivyo akakiri kumuogopa Magufuli.Sasa naomba achunguze deal za matangazo kuna watu wahuni wasiojiheshimu kama yeye? Utakuta watu tu wanaojielewa .Hayo matangazo yanahitaji Role model na sio Destructive model kwani yanakuja katika jamii ya watu wenye kujielewa.
 
Back
Top Bottom