Zari akihakikisha mali yake ipo salama

Zari akihakikisha mali yake ipo salama

ruanganyi

Senior Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
115
Reaction score
34
jione.jpg

Mjini Msingi kiuno , Kauli inayodhihirishwa na Zari hapa kwenye hizi picha , Zari amenaswa na mpiga picha wa Diamond akikagua mali zake kama zipo salama

hivi huyo mwana mwenye nywere za njano ni nani? ana mishe gani hapa town? samahan lkn maana huwa namuona sana hata kwenye video nyingi
 
Sitashangaa mtoto atakayezaliwa na hii couple aje kuwa....
internet dont forget..mtoto atakuja angalia picha za mama yake akishika nini sijui..iongezwee sheria yakuweza kumkana mama yako aisee
 
hivi huyo mwana mwenye nywere za njano ni nani? ana mishe gani hapa town? samahan lkn maana huwa namuona sana hata kwenye video nyingi
Ni mtu wa karibu na Diamond... sina hakika kama ni ndugu au hapana lakini hata kama ni ndugu basi ukaribu wao umezidi ukaribu wa undugu... in short, wamekuwa wote tangu wakiwa wadogo kabisa! Long time, na yeye alikuwa anajifanya msanii lakini hivi sasa ni DJ!!!
 
Mimi nimechoshwa na habari za diamond.. Kila kona diamond ,
 
hivi huyo mwana mwenye nywere za njano ni nani? ana mishe gani hapa town? samahan lkn maana huwa namuona sana hata kwenye video nyingi

huyo ni makonda dc mpya wa kinondoni aliechaguliwa na jk hivi karibuni
 
Back
Top Bottom