Zari alijishusha sana kutoka na Diamond

Dah kwani mondi si mwanaume ila kwa sasa ndio anajishusha hadhi ili dai aone wivu.
dai ni mwanaume kama wengine chai hadi sasa zari anamuwaza mutoto yetu wakitanzania
zari ndo kamwacha dai,
 
Wabongo bhana kwa ushamba, yaani kupiga picha na mzungu ndio mnaona big deal?
 
Akili zimemrudia sasa, zipu mbovu anazidi kunyorodoka ivan angekua mzima game lingekua tamu, domo uroho wa k bila ndom umemponza chezea wadada wa uswazi full kutegesha ili wapate vya dezo child support.....hope sperm donner domo kajifunza.
 
amebaki kulia lia kwenye media.Mara ooh siku nikipata mwanamke mwingine....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…