Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikutana nae anatoka kudanga kwa muzamil katunzihata kama ni chini ya mti, dai alimpata kipindi wamezinguana na ivan
Tangia lini paka akala muwa kaka ushamba ni maradhiLakini alikubali kushuka ili awe na dai, vituko vyote vya mawifi na maisha ya Tandale alivumilia lakini wapi. Kunguru ni kunguru tu
amebaki kulia lia kwenye media.Mara ooh siku nikipata mwanamke mwingine....Akili zimemrudia sasa, zipu mbovu anazidi kunyorodoka ivan angekua mzima game lingekua tamu, domo uroho wa k bila ndom umemponza chezea wadada wa uswazi full kutegesha ili wapate vya dezo child support.....hope sperm donner domo kajifunza.
Wa kukutana nae mzee babauwezo kivipi mzee
Kwa ndani kashamaliza madini yote. Hana jipya. She is just an old hug. A tramp!!HUYU DADA ALIJISHUSHA SANA KUTOKA NA DIAMONDView attachment 833745View attachment 833746