mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,931
Huyu demu baada ya kuachana na Ivan hakwenda kudate na diamond alienda date na mganda mwenzake sijui mcheza kikapui sijui anafanya nini ni jamaa flani hivi mrefu kweli na ndiye aliachiaga zile video za uchi kipindi yuko na diamond na walidate kwa zaidi ya miezi tisa kwa hiyo huwezi sema alikuwa na stress za Ivanhata kama ni chini ya mti, dai alimpata kipindi wamezinguana na ivan
Mbele za watu yupo nimemuacha usiku anakumbukia sana unajua alifuata nini kwa mutoto wetu unajua bhana so bado anahangaika tu kuipata tena japo kidogo.zari ndo kamwacha dai,
Bibi unaanza vipi kuvuliwa nguo na vitoto vya miaka ya 1990
Mbele za watu yupo nimemuacha usiku anakumbukia sana unajua alifuata nini kwa mutoto wetu unajua bhana so bado anahangaika tu kuipata tena japo kidogo.
Kuna kipi kwani cha kuringia kwan muhimu ukojoe tu bcHUYU DADA ALIJISHUSHA SANA KUTOKA NA DIAMONDView attachment 833745View attachment 833746
was accidentaly, nahisi pia zilikuwa ni stress za IVAN
ndio watoto wako huku halafu hujui nyuma ya pazia labda kalipwaKijana wenu anashoboka,cheki birthday anaenda kulia south badala yeye ndo afatwe madale
ndio watoto wako huku halafu hujui nyuma ya pazia labda kalipwa
Tumeishi na kina zari wengi so tunawajua kama hampendi tungejua tu .Alipwe nini zaidi ya kujipendekeza,pyeeep hafatwi mtu ofisin na keki too cheap
Tumeishi na kina zari wengi so tunawajua kama hampendi tungejua tu .
kwanza wanatuchora sisi tunahangaika hapa wao wanapata hela na maisha yao.
sisi tunajipotezea muda kuhusu wao sasa zari dai watanisaidia nini ? Hawanijui hata kama katoto kazuri ana exist.
Dah uko serious na zari wewe ni ndugu yake ?Kama ni hivyo basi tunza hayo mapovu,poleeeee
Mkuu huyu mama ni zaidi ya balaaHuyu mama yuko vizuri sana kukosa uwezo tu aiseeee
Dah uko serious na zari wewe ni ndugu yake ?
Anakujuaga???? Unahasira kama wewe ni dada yake wewe ni nani yake?
Au unajishaua tu?
Kwa akili zenu fupifupi wabongo mnatekenyana na kucheka wenyewe...Hiv nani kakwambia mwanamke anajishusha kwa mwanaume??HUYU DADA ALIJISHUSHA SANA KUTOKA NA DIAMONDView attachment 833745View attachment 833746
Ndio maana madem wabongo mnagongwa hadi na mbwa kisa tu anafugwa na mzungu.acheni upumbavu wakumuamini mtu et kwa rangi yakemtu kama huyo mzungu hapo
Umetumia vigezo gani kwa kauli yako?kabla hajawa na mondi alikuwaje?pindi yupo na mond alikuwaje?na hivi sasa baada yakuachana na mondi yupoje!??amerudi kwenye level zake
Hii jinsia inatabu snWabongo bhana kwa ushamba, yaani kupiga picha na mzungu ndio mnaona big deal?
Je mond ananyorodoka kivp labda maana me namuona kama mbabe wa vita coz katotolesha na alelewa watt ambao ndio hitaji lake kuu. Kama ni K anazipata ana kwa level zake anauwezo wakupata K atakayo.Tatzo lenu madem wa bongo akili zenu zimeishia kwenye K zenu kwamba ndio kila kitu wakati watu makini wanaziona kama kiburudisho tu ambacho kunapatikana kwa urahisi mnoo .Mondi hitaji lake lilikuwa ni mtoto/watoto sio ****.Akili zimemrudia sasa, zipu mbovu anazidi kunyorodoka ivan angekua mzima game lingekua tamu, domo uroho wa k bila ndom umemponza chezea wadada wa uswazi full kutegesha ili wapate vya dezo child support.....hope sperm donner domo kajifunza.
Hawa ndio miongoni mwa wale mataahira Wa insta wakulazimishana kupost au kuoa au kuolewa na mtu wamtakao waoDah uko serious na zari wewe ni ndugu yake ?
Anakujuaga???? Unahasira kama wewe ni dada yake wewe ni nani yake?
Au unajishaua tu?