mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,931
Huyu demu baada ya kuachana na Ivan hakwenda kudate na diamond alienda date na mganda mwenzake sijui mcheza kikapui sijui anafanya nini ni jamaa flani hivi mrefu kweli na ndiye aliachiaga zile video za uchi kipindi yuko na diamond na walidate kwa zaidi ya miezi tisa kwa hiyo huwezi sema alikuwa na stress za Ivanhata kama ni chini ya mti, dai alimpata kipindi wamezinguana na ivan