Zari alijishusha sana kutoka na Diamond

mtowa mada ..nawew wale machokora unatembeaga nao umeshajuwa kama unajishusha?? hilo povu lako kalipigiye deki chooni
 
Inawezekana bila uyo Diamond usingemfuatilia uyu Zari kama unavyomfuatilia sasa ivi naamini wengi wetu hapa Bongo amepata attention yetu baada ya mdogo wetu kuanza kumpima oil tofauti na hapo hata huu uzi usingekuwepo hapa.
 
was accidentaly, nahisi pia zilikuwa ni stress za IVAN
Accidentally?!?!? Hili neno hata maana yake haiko kama unavyotaka isomeke. 2totoz inaitwa Accidentally? Some jokes are just for fun.
 
mtoa mada mbona we unatoka na bibi ako lkn cjawah sema...
oooh ndo nmesema sa h
 
Daah nae ni mwanamke tu kama wanawake wengine au yake ipo tofauti
 
Plus muzamili katunzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…