Zari alijishusha sana kutoka na Diamond

Zari alijishusha sana kutoka na Diamond

mtowa mada ..nawew wale machokora unatembeaga nao umeshajuwa kama unajishusha?? hilo povu lako kalipigiye deki chooni
 
Inawezekana bila uyo Diamond usingemfuatilia uyu Zari kama unavyomfuatilia sasa ivi naamini wengi wetu hapa Bongo amepata attention yetu baada ya mdogo wetu kuanza kumpima oil tofauti na hapo hata huu uzi usingekuwepo hapa.
 
mtoa mada mbona we unatoka na bibi ako lkn cjawah sema...
oooh ndo nmesema sa h
 
Daah nae ni mwanamke tu kama wanawake wengine au yake ipo tofauti
 
Huyu demu baada ya kuachana na Ivan hakwenda kudate na diamond alienda date na mganda mwenzake sijui mcheza kikapui sijui anafanya nini ni jamaa flani hivi mrefu kweli na ndiye aliachiaga zile video za uchi kipindi yuko na diamond na walidate kwa zaidi ya miezi tisa kwa hiyo huwezi sema alikuwa na stress za Ivan
Plus muzamili katunzi
 
Back
Top Bottom