Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kupitia kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa Clouds FM, msanii Diamond Platnums, amezungumzia uzinduzi wa Tv station yake binafsi atakayoizindua Mei 1 kwenye Party ya Zari inayofahamika kama Zari All white party itakayofanyika Mlimani City.

All the best kama sio kick
.

=======

YALIYOJIRI KWENYE ONYESHO LA ZARI ALL WHITE PARTY - MLIMANI CITY HALL , DSM - TANZANIA (1/5/2015):

live streaming update.....ila hawa jamaa wa clouds yaonekana kwenye haya mambo ya live stream bado sana.picha ina stuck na sauti mbaya.
View attachment 248459

Ebwana hii ZARI ALLWHITE PARTY umemuacha hoi. Yani Chua alikuwepo, Minja alikuwepo, Matayo alikuwe, Msele alikuwepo, Mrema alikuwepo...na wengine wengi walikuwepo (in chagaz voice).

Bila kumsahau Bob junior ambae amemfurahisha sana Platnumz na mashabiki zake kwa hilo. Hii ikimaanisha hawana bifu tenaa. Mnyama TID mmemuona mapemaa. Ila mzee wa kufuta vumbi kiti Vp bwana......Mbona sikuoni? Why? Kwanini? Hakika unazidi kujitenga na wasanii wenzako huku Platnumz akiendelea kuwaongeza.

Msalimie na Mr. Wanjera

11193238_899681896741896_5704140987893315175_n.jpg

Binafsi nimeona kama nimemzulumu diamond na zari kwa 50,000 niliyotoa.haiwezekani raha zote za jana kuanzia burudani ya YAMOTO BAND,venessa , AKA, swaga za diamond na ney wa mitego,uchekeshaji ulienda shule wa Eric Omond, jamaa anachekesha saa zima na bado hadhira haitaki aondoke stejini.

Dah nimesahau kijana anayekuja kwa kasi shettah bila ya kumsahau bob junior yaani ilikuwa IMENUKA.

Mwisho kabisa shoo ya masaa 3 consecutive ya Diamond akisindikizwa na Khadija Kopa, Ney wa Mitego.
Kwa hakika kupata hivyo vyote kwa 50,000 ni dhuluma ya hali juu
 
Nasikiliza xxl ya Clouds fm ndipo habari ilipo wadau,huyu kijana nimiongoni mwa vijana wanaojua nini wanafanya katika tasnia yao ya music
 
duh! huyu jamaa ana fedha jamani! hapo bado kununua private jet kama P Square. Hongera zake kama hajawezeshwa na Raia Namba 1 TZ tu!
 
duh! huyu jamaa ana fedha jamani! hapo bado kununua private jet kama P Square. Hongera zake kama hajawezeshwa na Raia Namba 1 TZ tu!

Mmh mwenzangu huyo baba naniliu anavyompendelea diamond utafikir yeye ndo msanii pekee, mara amnunulie mashati ulaya, mara waalikane ikulu, maana ndomo ikulu anaingia kama chooni, mwishowe wafikiriwe vibaya mxiuuuuuuu!!!
 
Nasikiliza xxl ya Clouds fm ndipo habari ilipo wadau,huyu kijana nimiongoni mwa vijana wanaojua nini wanafanya katika tasnia yao ya music

Kwa msaada wa Bosslady Zari watafungua hiyo TV STATION...!
 
Mmh mwenzangu huyo baba naniliu anavyompendelea diamond utafikir yeye ndo msanii pekee, mara amnunulie mashati ulaya, mara waalikane ikulu, maana ndomo ikulu anaingia kama chooni, mwishowe wafikiriwe vibaya mxiuuuuuuu!!!

sijui ataiitaje hiyo tv
 
Mmh mwenzangu huyo baba naniliu anavyompendelea diamond utafikir yeye ndo msanii pekee, mara amnunulie mashati ulaya, mara waalikane ikulu, maana ndomo ikulu anaingia kama chooni, mwishowe wafikiriwe vibaya mxiuuuuuuu!!!

Hata mm nashangaa aiseee, kwanini kila mwezi ni ndomo tu...!
 
warumi message yako ni mbaya kumbuka yule ni mtu mzima kama babu pia ni raisi wa nchi so mambo ya chooni ni kama unamdhalilisha sio fair

Kwani nimemtaja jina? Kwani ikulu anaingia mtu mmoja? Hayo mawazo yako tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom