Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

Weraaa🙆🙆🙆🙆
 
warumi message yako ni mbaya kumbuka yule ni mtu mzima kama babu pia ni raisi wa nchi so mambo ya chooni ni kama unamdhalilisha sio fair

hahaaaaaaaaaaaa nimemsoma warumi na hii post yako nimechekaje
ila kwani wababu hawarukagi ukuta
 
Kupitia kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa clouds fm, msanii Diamond platnums, amezungumzia uzinduzi wa Tv station yake binafsi atakayoizindua mei 1 kwenye party ya zari inayofahamika kama zari all white party itakayofanyika mlimani city.

All the best kama sio kick.

isije ikawa kama cheusi dawa tv au ayo tv yaan nazungumzia tv za youtube
 
Mwenzangu ata mimi nadhan itakuwa hyo asee, asitake kutujambisha

Zingekua hizi nyingine kwa process zake zilivyo tungeshajua tu.Ndio yale yale ya online hakuna kitu hapo.
 
Kupitia kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa clouds fm, msanii Diamond platnums, amezungumzia uzinduzi wa Tv station yake binafsi atakayoizindua mei 1 kwenye party ya zari inayofahamika kama zari all white party itakayofanyika mlimani city.

All the best kama sio kick.

Pengine ni TV show..
 
duh! Huyu jamaa ana fedha jamani! Hapo bado kununua private jet kama p square. Hongera zake kama hajawezeshwa na raia namba 1 tz tu!

raia namba moja ndo yupi tena mkuu?
 
Website hiyo siku hiyo mmmh haya wengine hatupo mjini now tutasubiria mtandao... Inabidi wawe tayari maana tusije ishia kutooona kitu.
 
Back
Top Bottom