Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo tv ya Shigongo inapatikana kwenye decoder ipi/zipi?
warumi message yako ni mbaya kumbuka yule ni mtu mzima kama babu pia ni raisi wa nchi so mambo ya chooni ni kama unamdhalilisha sio fair
Kupitia kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa clouds fm, msanii Diamond platnums, amezungumzia uzinduzi wa Tv station yake binafsi atakayoizindua mei 1 kwenye party ya zari inayofahamika kama zari all white party itakayofanyika mlimani city.
All the best kama sio kick.
Mwenzangu ata mimi nadhan itakuwa hyo asee, asitake kutujambisha
Mkuu hatq usisumbuke nayo, ni Tv ya online...haina kitu chochote kizuri!
Kupitia kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa clouds fm, msanii Diamond platnums, amezungumzia uzinduzi wa Tv station yake binafsi atakayoizindua mei 1 kwenye party ya zari inayofahamika kama zari all white party itakayofanyika mlimani city.
All the best kama sio kick.
Dah unaangalia kwa mb au mana vifurushi vya siku hizi majanga zitakua na viewers?
Yeah hapo MBs zinahusika Diva Beyonce..n.
duh! Huyu jamaa ana fedha jamani! Hapo bado kununua private jet kama p square. Hongera zake kama hajawezeshwa na raia namba 1 tz tu!
Wataangalia wenyewe kwa kweli mi hapana nilijua ni kama ya kutumia ving'amuzi.