Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kupitia kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa Clouds FM, msanii Diamond Platnums, amezungumzia uzinduzi wa Tv station yake binafsi atakayoizindua Mei 1 kwenye Party ya Zari inayofahamika kama Zari All white party itakayofanyika Mlimani City.

All the best kama sio kick
.

=======

YALIYOJIRI KWENYE ONYESHO LA ZARI ALL WHITE PARTY - MLIMANI CITY HALL , DSM - TANZANIA (1/5/2015):

live streaming update.....ila hawa jamaa wa clouds yaonekana kwenye haya mambo ya live stream bado sana.picha ina stuck na sauti mbaya.
View attachment 248459

Nasikiliza xxl ya Clouds fm ndipo habari ilipo wadau,huyu kijana nimiongoni mwa vijana wanaojua nini wanafanya katika tasnia yao ya music
 
duh! huyu jamaa ana fedha jamani! hapo bado kununua private jet kama P Square. Hongera zake kama hajawezeshwa na Raia Namba 1 TZ tu!
 
duh! huyu jamaa ana fedha jamani! hapo bado kununua private jet kama P Square. Hongera zake kama hajawezeshwa na Raia Namba 1 TZ tu!

Mmh mwenzangu huyo baba naniliu anavyompendelea diamond utafikir yeye ndo msanii pekee, mara amnunulie mashati ulaya, mara waalikane ikulu, maana ndomo ikulu anaingia kama chooni, mwishowe wafikiriwe vibaya mxiuuuuuuu!!!
 
Nasikiliza xxl ya Clouds fm ndipo habari ilipo wadau,huyu kijana nimiongoni mwa vijana wanaojua nini wanafanya katika tasnia yao ya music

Kwa msaada wa Bosslady Zari watafungua hiyo TV STATION...!
 
Mmh mwenzangu huyo baba naniliu anavyompendelea diamond utafikir yeye ndo msanii pekee, mara amnunulie mashati ulaya, mara waalikane ikulu, maana ndomo ikulu anaingia kama chooni, mwishowe wafikiriwe vibaya mxiuuuuuuu!!!

sijui ataiitaje hiyo tv
 
Mmh mwenzangu huyo baba naniliu anavyompendelea diamond utafikir yeye ndo msanii pekee, mara amnunulie mashati ulaya, mara waalikane ikulu, maana ndomo ikulu anaingia kama chooni, mwishowe wafikiriwe vibaya mxiuuuuuuu!!!

Hata mm nashangaa aiseee, kwanini kila mwezi ni ndomo tu...!
 
warumi message yako ni mbaya kumbuka yule ni mtu mzima kama babu pia ni raisi wa nchi so mambo ya chooni ni kama unamdhalilisha sio fair

Kwani nimemtaja jina? Kwani ikulu anaingia mtu mmoja? Hayo mawazo yako tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…