Zari all white party! Nashindwa ku-access na nimeshalipia dollar 3

Mie niko hapa nje nasubiria fungulia dog, ila kuna wadada wamenipita hapa nje wako pombe mbaya, sijui hali ikoje huko ndani, na wasiwasi kuna mtu atazomewa.
 
Kabwe_mlindwa mi nwenyewe ilikua inasema code inatumika nikafanya ivi now naangalia NENDA KWENYE SMS ULOTUMIWA CLICK ILE WEBSITE YA ZARI THEN IKIFUNGUKA LOG OUT THEN ANDIKA UPYA WEBSITE LOG IN NOTE: UKITAKA KUTOKA USIACHE KULOG OUT MAANA UKIRUD WATASEMA INATUMIWA NA MWINGINE ALL D BEST
 
Last edited by a moderator:

Website inafunguka ila inataka uweke CODE na nikiweka CODE inaleta meseji ile ile ya kutumiwa na mtu mwingine
 
Alafu siyo 3000 ni 4000.
Wanakata na service charge 1000
So 3000+1000=.......????

Kwa kweli acha watucheke tu

mbona sijakatwa hio buku mwanawane?
 
Kwa mara ya kwanza, nimekubali hadharani kwamaba NIMETAPELIWA.... streaming gani hii?? imeshindwa na ya fiesta ya bure????
 
Uuuuuuuwi MAJANGA.

Code mpya niliyonunua mara ya pili nayo naambia inatumiwa na mtu mwingine.

TUNAIBIWAAAAAAAA

WEZIIIIIIIIIIIIII

someni maelekezo,ushaambiwa ukitaka kutoka logg out kwani usipo logg out itaonyesha kuna mtu anatumia ambaye kiuhalisia ni ww mwenyewe coz huku logg out lkn uki logg out ukitaka kurudi unaingia tena na code hyo hyo
 
Kwendraaaa,nikuchukie wewe nani?
Eti jamaa lofa wewe mwenye nazo zinatusaidia nini?
Jamaa yuko serious acha chuki zako za kijinga usidhani kila mtu ana roho mbaya kama wewe.

We nawe mbona hujielewi.., una nichukia bila sababu..

Hata nikikusapoti unanichana... K nn??
 
Hebu piga hii namba wamenitumia sasa hivi 0777225222

Imebidi ninunue code mpya baada ya kulog out mara ya kwanza na nilivotaka kulog in ikanigomea
Nadhani watu mna bahati mbaya or probably I have a good lucky! Mie nilinunua code asubuhi saa za kibongo. Nika-log in nikashangaa shangaa baadae nika-log out nikaendelea na michakato ya maisha! Nimerudi ghetto few minutes ago, nika-log in with the same code, na waka sikupata taabu yoyote. Hata kama kuna buffer za hapa na pale lakini kiukweli value for 3000 naiona hapa.
 
Uknw babu yake BADILI TABIA live at Mlimani city kwenye meza ya 3 million uknw..
I love it uknw..
 

Attachments

  • 1430515545064.jpg
    15.7 KB · Views: 376
Last edited by a moderator:
someni maelekezo,ushaambiwa ukitaka kutoka logg out kwani usipo logg out itaonyesha kuna mtu anatumia ambaye kiuhalisia ni ww mwenyewe coz huku logg out lkn uki logg out ukitaka kurudi unaingia tena na code hyo hyo

Ndugu usijifanye wewe ndo unajua kusoma saaana kuliko watu wote.
Umejuaje kama siku-log out au unataka kuonekana na wewe umekomment leo pyuu!!
 
Ndugu usijifanye wewe ndo unajua kusoma saaana kuliko watu wote.
Umejuaje kama siku-log out au unataka kuonekana na wewe umekomment leo pyuu!!

genye hzo!!!!
 
ingia ha tumia mxplayer kwenye cm au vlc kene computer

rtsp://wcdn42.nacevi.cz/AfricanBox03/_definst_mp4:AfricanBox03_lq?id=99VuQmCT1F1mXy-02
 
Wale tusiopenda kusimuliwa, leo mbona tunakoma

alietengeneza website aliweka ili mtu asirudie ila akachemsha maana hata walio logout hawakuweza kuingia tena kwa kupitia device hiyo hiyo...tabu ni wengi wa nje ambao hawakuomba ndugu na jamaa wawarushie code za kwenye simu hawajaona...il wangepata pesa nyingi sana leo kutoka nje ya nchi pia maana malipo yalikuwa kwenye demo alisahau kutoa demoaliyetengeneza website....kala tu pesa kazi mbovu....ndio hapewi tena kazi hiyo kachemsha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…