Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabwe_mlindwa mi nwenyewe ilikua inasema code inatumika nikafanya ivi now naangalia NENDA KWENYE SMS ULOTUMIWA CLICK ILE WEBSITE YA ZARI THEN IKIFUNGUKA LOG OUT THEN ANDIKA UPYA WEBSITE LOG IN NOTE: UKITAKA KUTOKA USIACHE KULOG OUT MAANA UKIRUD WATASEMA INATUMIWA NA MWINGINE ALL D BEST
ha haaaa
Alafu siyo 3000 ni 4000.
Wanakata na service charge 1000
So 3000+1000=.......????
Kwa kweli acha watucheke tu
mbona sijakatwa hio buku mwanawane?
Angalia mini statement ndo utaona ndugu
Uuuuuuuwi MAJANGA.
Code mpya niliyonunua mara ya pili nayo naambia inatumiwa na mtu mwingine.
TUNAIBIWAAAAAAAA
WEZIIIIIIIIIIIIII
Kwendraaaa,nikuchukie wewe nani?
Eti jamaa lofa wewe mwenye nazo zinatusaidia nini?
Jamaa yuko serious acha chuki zako za kijinga usidhani kila mtu ana roho mbaya kama wewe.
Nadhani watu mna bahati mbaya or probably I have a good lucky! Mie nilinunua code asubuhi saa za kibongo. Nika-log in nikashangaa shangaa baadae nika-log out nikaendelea na michakato ya maisha! Nimerudi ghetto few minutes ago, nika-log in with the same code, na waka sikupata taabu yoyote. Hata kama kuna buffer za hapa na pale lakini kiukweli value for 3000 naiona hapa.Hebu piga hii namba wamenitumia sasa hivi 0777225222
Imebidi ninunue code mpya baada ya kulog out mara ya kwanza na nilivotaka kulog in ikanigomea
someni maelekezo,ushaambiwa ukitaka kutoka logg out kwani usipo logg out itaonyesha kuna mtu anatumia ambaye kiuhalisia ni ww mwenyewe coz huku logg out lkn uki logg out ukitaka kurudi unaingia tena na code hyo hyo
Ndugu usijifanye wewe ndo unajua kusoma saaana kuliko watu wote.
Umejuaje kama siku-log out au unataka kuonekana na wewe umekomment leo pyuu!!
genye hzo!!!!
Wale tusiopenda kusimuliwa, leo mbona tunakoma