Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Ha ha haWaswahili tuna tabu sana huyo mama mtoto alisha eleza kuwa hiyo ni PRE-BIRTHDAY PARTY aliyo fanya kwa ajili ya rafiki na jamaa zake waliopo kule pamoja na wanawe wakiume (kaka zake Tiffa) na baada ya hapo Birthday rasmi itakuja fanyika huku, Loh! tayari Orchestre Chakubimbiz imesha litengenzea CD na je ikifanyika huku sijui watabadili wimbo kuwa kaka zake Tiffa wamesusa kuja.
Ok wewe utakuwa umekumbuka mganda ngoma ya Wanyasa, huyo mtoto ni Mtanzania mwenye Uraia wa Madale.ni mganda
yule ni mzaliwa wa ug,,so ni mganda menOk wewe utakuwa umekumbuka mganda ngoma ya Wanyasa, huyo mtoto ni Mtanzania mwenye Uraia wa Madale.
Kumbe wewe ke!! samahanikama wewe ulivyokua kusoma huu uzi. Umbea ni muhimu kwa afya.
Sawa kaka.yule ni mzaliwa wa ug,,so ni mganda men
pamoja sanaSawa kaka.
Tatizo wabongo walianza kumtisha mara cjui mama ubaya atakwepo mara mobeto cjui nini akaona ajifanyie zake huko mbarara
ni mganda
dogo naona domo kama la baba
Hilo jibu kama Mimi nazimia mbonakama wewe ulivyokua kusoma huu uzi. Umbea ni muhimu kwa afya.
Itafanyikia taifa hivyo relax mkuudai kasema n pre birthday
yenyewe next week
badala ya kufanya vitu vya msingi atawajaza watu madale
kwenye birthday na mashauzi tele
hapo ndipo bwana naseeb anaponichosha na anapoonekana limbukeni