Zari amfanyia Tiffa birthday party bila mtanzania yeyote, si baba wala bibi

Zari amfanyia Tiffa birthday party bila mtanzania yeyote, si baba wala bibi

Waswahili tuna tabu sana huyo mama mtoto alisha eleza kuwa hiyo ni PRE-BIRTHDAY PARTY aliyo fanya kwa ajili ya rafiki na jamaa zake waliopo kule pamoja na wanawe wakiume (kaka zake Tiffa) na baada ya hapo Birthday rasmi itakuja fanyika huku, Loh! tayari Orchestre Chakubimbiz imesha litengenzea CD na je ikifanyika huku sijui watabadili wimbo kuwa kaka zake Tiffa wamesusa kuja.
Ha ha ha
 
Jana ilibidi nimuonee huruma yule dada alivyoumizwa na kuona ya Tiffah, anajutia alizochoropoa za Baba Tiffah. Majutooooo hakuweza kuyaficha.

Inabidi awe mfano kwa wasochana wanaopenda kuchoropokoa mimba baadae wanashindwa kuzaa. Awe mfano kwa wengine ili wazae tu, waache kutaka kushikilia ya maisha na raha na umri kusonga
Tatizo wabongo walianza kumtisha mara cjui mama ubaya atakwepo mara mobeto cjui nini akaona ajifanyie zake huko mbarara

Hawmiwezekani kwa Zari kuamua sababu ya maneno ya watu. Anaishi huko SA inaeleweka vizuri sanaaaaaaaaa
 
Dunia inakwenda kasi sana! Pana sherehe zimepata umaarufu wa ghafla sana kama hii na valentine!
 
dai kasema n pre birthday
yenyewe next week
badala ya kufanya vitu vya msingi atawajaza watu madale
kwenye birthday na mashauzi tele

hapo ndipo bwana naseeb anaponichosha na anapoonekana limbukeni
 
dai kasema n pre birthday
yenyewe next week
badala ya kufanya vitu vya msingi atawajaza watu madale
kwenye birthday na mashauzi tele

hapo ndipo bwana naseeb anaponichosha na anapoonekana limbukeni
Itafanyikia taifa hivyo relax mkuu
 
Watu mkoje? Si mliambiwa ile ni pre birthday. Mxuu
 
hivi huyu tiffa alizaliwa nchi gani? Uganda, Tz au south?
 
Back
Top Bottom