Zari amfanyia Tiffa birthday party bila mtanzania yeyote, si baba wala bibi

What are you doing here?
Sasa kutuambia eti amefanya brthday bila mtanzania yeyote why uifanye agenda ya watanzania. Upungu wenu peleka huko bora ungesema bila ndugu wa baba! Mfyuuu
 
Wewe jana kwenye ile thread ya ngono ulikuwa unatamba kuanzia page ya kwanza mpaka ya mwisho.. Kuna aliyekusumbua?? Waache wenzako nao wafanye yao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ipi hiyo fisadikuu, mimi kolichonikera kuigeuza agenda ya watanzania na mimi kumihusisha hapo ndiyo kaniboa.[emoji16]
 
Is that the reason Bi Sandra doesn't buy the crap?

That, ur gonna av 2 ask her uaself. All I kno is 30 smthng aint right. As 4 m, I kno wat holds th future, bt I got no clue as 2 wat th future holds.
 
Sasa kutuambia eti amefanya brthday bila mtanzania yeyote why uifanye agenda ya watanzania. Upungu wenu peleka huko bora ungesema bila ndugu wa baba! Mfyuuu
Kumbe ni hayo tu ndiyo yalikukera?
 
Yaani hata me ndio nilikua najiuliza inaitwaje pre.... Kana ilifanyika siku aliyozaliwa exactly?? Hii watakayokuja kuifanya wanatakiwa waiite post birthday party na hiyo waliyoifanya wasingetakiwa waiite pre kama ilifanyika siku yake ya kuzaliwa bali wangeiita kawaida birthday party.

Kumbe na Zari naye lugha ni tatizo?
 
Hivi wale watoto wengine wa zari wako wapi? Huwa anawafanyia birthday pia?
 
Hivi wale watoto wengine wa zari wako wapi? Huwa anawafanyia birthday pia?
Birthday ni common thing ipo tu Automatically sababu kila mtu alizaliwa siku moja.

Labda kama unamaanisha birthday party.
 
Hivi wale watoto wengine wa zari wako wapi? Huwa anawafanyia birthday pia?
Mama alipokuwa kwenye Europe Tour, baba yao aliwapeleka watoto Spain holiday, sijaona birthdaya party bado.
 
Nauliza. Hivi wale watoto wengine wa zari baba yako ni mmoja tuu
According to Mange Kimambi, Zari alizaa bint yake wa kwanza akiwa secondary ambae ana umri sawa na Dai.
Wale wavulana baba yao ni Mganda anaitwa Ivan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…