Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Lol[emoji3] [emoji2]Itafanyikia taifa hivyo relax mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol[emoji3] [emoji2]Itafanyikia taifa hivyo relax mkuu
Umbea umbea uache shenzi tyyypee!
Sasa kutuambia eti amefanya brthday bila mtanzania yeyote why uifanye agenda ya watanzania. Upungu wenu peleka huko bora ungesema bila ndugu wa baba! MfyuuuWhat are you doing here?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ipi hiyo fisadikuu, mimi kolichonikera kuigeuza agenda ya watanzania na mimi kumihusisha hapo ndiyo kaniboa.[emoji16]Wewe jana kwenye ile thread ya ngono ulikuwa unatamba kuanzia page ya kwanza mpaka ya mwisho.. Kuna aliyekusumbua?? Waache wenzako nao wafanye yao
Is that the reason Bi Sandra doesn't buy the crap?
Is that the reason Bi Sandra doesn't buy the crap?
Is that the reason Bi Sandra doesn't buy the crap?
Is that the reason Bi Sandra doesn't buy the crap?
Is that the reason Bi Sandra doesn't buy the crap?
That, ur gonna av 2 ask her uaself. All I kno is 30 smthng aint right. As 4 m, I kno wat holds th future, bt I got no clue as 2 wat th future holds.Is that the reason Bi Sandra doesn't buy the crap?
Mtoto wa taifa.
Yaani hata me ndio nilikua najiuliza inaitwaje pre.... Kana ilifanyika siku aliyozaliwa exactly?? Hii watakayokuja kuifanya wanatakiwa waiite post birthday party na hiyo waliyoifanya wasingetakiwa waiite pre kama ilifanyika siku yake ya kuzaliwa bali wangeiita kawaida birthday party.Msinichanganye hapa. Itakuwaje PRE-BIRTHDAY wakati siku aliyozaliwa ndio walisherehekea? Kwani 'PRE' si ina maana 'kabla ya'?
Labda mseme itakuwa POST-BIRTHDAY maanake siku ya kuzaliwa ishapita. Ukweli ni kwamba birthday ya Tiffah, ilifanyika bila familia ya babake! FULLSTOP.
Msinichanganye.
Birthday ni common thing ipo tu Automatically sababu kila mtu alizaliwa siku moja.Hivi wale watoto wengine wa zari wako wapi? Huwa anawafanyia birthday pia?
Maisha ya wasanii full maigizooMama alipokuwa kwenye Europe Tour, baba yao aliwapeleka watoto Spain holiday, sijaona birthdaya party bado.
Nauliza. Hivi wale watoto wengine wa zari baba yako ni mmoja tuuNdiyo maana kila wanachofanya wanaweka insta, lakini Cheif Engineer haweki tools zake insta.