Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hahahahah dahLaiti ndo ungekuwa mgawa riziki ya waume: ningekoma mimi HS.
Zari na watoto wake watano bado kuna watu wanamtaka kwa hali na mali. Relax brod
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayaa nipe jina lake la Kikristo?Ili tuondoe hizi assumptions.
Nimekuomba unipatie jina lake la kikristo?Nikuulize Jakaya Mrisho Kiwetwe ni jina kiarabu?
Raila Odinga ni jina la Kizungu?
Nmekaa sana Uganda unakuta mtu anaitwa Shafiq wala sio Islamic, ni kawaida hilo lisikupe shida
Sent using Jamii Forums mobile app
According to babutale na Diamond kasikilize interview ya Wasafi aliyoifanya Diamond mwezi wa nne,kasikilize interview aliyoifanya babutale ktk kipindi cha Bartender.Mtoto under 18yrs of age anaweza kuwa na uraia pacha na anaweza kusafiria passport ya Tanzania au ya nchi nyingine.
Kama Tiffah ana uraia wa SA hakumfanyi asiwe raia wa TZ na bado anaweza kutumia passport ya TZ.
Watanganyika muwe mnajiongeza kabla ya kudandia mambo. Smdh
According to babutale na Diamond kasikilize interview ya Wasafi aliyoifanya Diamond mwezi wa nne,kasikilize interview aliyoifanya babutale ktk kipindi cha Bartender.
Sasa unabisha wakati mwenye mtoto wake amesema mwanawe amebadilishwa uraia.
" Wewe umesema watanganyika tuwe tunajiongeza"Sijakaa mtoto kubadilishiwa uraia maana sijui nini kinaendelea, nimetoa ufananunuzi wa sheria.
Dayamondi na huyo Tale wanaweza kuwa sawa na hawa watanganyika wa humu ambao wanadhani mtoto akiwa na passport ya SA basi hawezi kutumia ya TZ na ameukana uraia wake wa TZ. Anaweza kuwa nazo hata 10 akitaka ila akifika 18yrs of age lazima achague moja TZ au nje. Hii ni applicable kwa nchi nyingi sana zisizo na uraia pacha ikiwemo Tanzania. Wanaweza kuuliza uhamiaji wakitaka, it's that simple.
" Wewe umesema watanganyika tuwe tunajiongeza"
Mimi nilichokiandika ni nukuu aliyoisema babutale na Diamond,sijaongeza wala kupunguza kitu.Ndio maana tokea hapo babutale kasema hatojihushisha na mahusiano ya yoyote ya kimapenzi Diamond.
Brother mwenye mtoto kasema mwanae SI RAIA WA TANZANIA,mke wake kambadilisha uraia.
Utafanyaje kitu bila kumshirikisha mwenye mtoto?Kama hatunzi mtoto kwa sababu hiyo then dayamondi is dumb as a donut maana hiyo haimbadilishi mtoto kwa chochote kile.
Utafanyaje kitu bila kumshurikisha mwenye mtoto?
Pili maswala ya imani ni very sensitive,utawapelekaje watoto kanisani wakati baba yao ni muislam.
Unataka huduma ya mwanaume,kila mmoja asimame ktk nafasi yake ya kiasilia na si kufanya maamuzi we mwenyewe bila kumshirikusha mwenzako kisa una hela kumzidi mwanaume.
"We see the world differently"We see the world differently, I can careless about uraia, dini, mila etc mbele ya wanangu. Siwezi kuacha kumtunza mwanangu kwa sababu iwayo yeyote ile labda nifariki.
"We see the world differently"
Tayari ushajijibu,manake kuna mwengine mwanae ukimpeleka kanisani,jua ndio basi huto muona tena katika maisha yako na ya watoto.
Ila kaaa ukijua mtoto ni wa baba na mama uwe baba au mama unatakiwa husifanye kitu chochote bila kumshirikisha mwenzio,leo kambadilisha uraia,kesho kampeleka kanisani,kesho kutwa anaweza akambadilisha hata ubini wake?
Wee ndio domokaya au? Yatakubana na utavava lolMbona una hasira?
Basi mwache Diamond awe YEYE na wewe ubaki kuwa WEWEWe see the world differently sums it up.
Kupitia kipindi Cha Good morning Leo asubuhi Diamond amesema kwa mara ya kwanza jana amempigia simu Zari na kuongea nae wameelewana na sasa ataanza kutunza watoto wake rasmi na Corona ikiisha ataenda South Africa kuwatemvelea wanae baada ya kutokuwaona kwa miaka 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuomba unipatie jina lake la kikristo?
Wakristo wote wakishabatizwa majina yao yote yanatokana na watakatifu,ipo hivyo ktk iman ya kikristo na hamna jina la Zarina ktk list ya majina ya kikristo ambayo yapo kwenye biblia au vitabu vya watakatifu.
Mbinguni hamuendi kwa jina sawa nakubali.Hakuna mahusiano yoyote kati ya kubadili jina na ubatizo mbinguni hatuendi kwa majina
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Mbinguni hamuendi kwa jina sawa nakubali.
Wewe umsema Zari mkristo na kila mkristo lazima awe na jina la kikristo,duniani kote,madhebu yote ipo hivyo.
Mimi nisaidie hilo jina lake la kikristo?
Wakristo wote wana majina ya kikristo ni utaratibu ambao upo kwenye madhebu yote ya kikristo.Hakuna jina la kikristo majina ni ya watu, ukristo ni imani sio jina
Sent using Jamii Forums mobile app