Wakristo wote wana majina ya kikristo ni utaratibu ambao upo kwenye madhebu yote ya kikristo.
Nipatie jina lake la kikristo.
Una hoja dhaifu sana mbona Leo Diamond kasema baada kuona ujumbe wa Zari Jana kaamua kumpigia simu na kuongea nae wameelewana kwaiyo kilichokuwa kinamfanya asihudummie watoto wake wala kuwa karibu sio hizo sababu zako ilikuwa ni ego na pride tu,Utafanyaje kitu bila kumshirikisha mwenye mtoto?
Pili maswala ya imani ni very sensitive,utawapelekaje watoto kanisani wakati baba yao ni muislam.
Unataka huduma ya mwanaume,kila mmoja asimame ktk nafasi yake ya kiasilia na si kufanya maamuzi we mwenyewe bila kumshirikisha mwenzako kisa una hela kumzidi mwanaume.
Naomba tuishie hapa , sina jinsi ya kukuelezea zaidi ya hapo bahati mbaya hua sijui kulazimisha mtu ani elewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umemsikiliza vizuri issue yake ipo kisheria amesema ana mwanasheria wake ndio anaongea na zari na Kama ujatoa huduma yeye anatakiwa aongee na mondi atoe taarifa lakini huyo zari kakimbilia public Kama Kiki si Nini?Una hoja dhaifu sana mbona Leo Diamond kasema baada kuona ujumbe wa Zari Jana kaamua kumpigia simu na kuongea nae wameelewana kwaiyo kilichokuwa kinamfanya asihudummie watoto wake wala kuwa karibu sio hizo sababu zako ilikuwa ni ego na pride tu,
What if Zari asingetoa ujumbe Jana angeendelea kujikausha asilee watoto wake?
Kwa haraka haraka unaona tatizo kubwa lilikuwa wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kati ambaye ana mpeleka mtoto kanisani anajua fika baba yake muislam,anambadilisha uraia bila kumshirikisha mzazi mwenzake na nani ana ego na pride.Una hoja dhaifu sana mbona Leo Diamond kasema baada kuona ujumbe wa Zari Jana kaamua kumpigia simu na kuongea nae wameelewana kwaiyo kilichokuwa kinamfanya asihudummie watoto wake wala kuwa karibu sio hizo sababu zako ilikuwa ni ego na pride tu,
What if Zari asingetoa ujumbe Jana angeendelea kujikausha asilee watoto wake?
Kwa haraka haraka unaona tatizo kubwa lilikuwa wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Zari Ni mtafuta Kiki na Kiki yake imezimwa Leo na interview ya diamondWanaume kwenye tifutifuti La kumpambania Diamond..
we need to do sex checks!
so?Zari Ni mtafuta Kiki na Kiki yake imezimwa Leo na interview ya diamond
We uoni ujumbe wake amefuta kilichomfanya afute Ni nini?Zari anapenda Sana attention seeker ndo maana usishangae watu wengi kumsapoti diamond.
Hoja dhaifu sana kama Diamond angeamua kuwa karibu na watoto angekuwa nao karibu bila kujalisha Zari anataka hau atakiHivi kati ambaye ana mpeleka mtoto kanisani anajua fika baba yake muislam,anambadilisha uraia bila kumshirikisha mzazi mwenzake na nani ana ego na pride.
Manake kitendo cha kufanya maamuzi kama haya peke yako manake una declare una uwezo wa kulea watoto pekee yako bila msaada wa baba yake.
Sababu kulea ni kushirikishana ktk kila hatua na kila maamuzi madogo na makubwa.
Kwa Zari kutoa ujumbe jana ndio inaconclude Mondi kakosea au kuwahi kwenda kushtaki ina maana mshtaki ndiye kakosea?
Unajua kwenye simu wameongea nini?
Hoja dhaifu kumbadilisha uraia na kuwapeleka watoto kanisani hoja dhaifu?Ila si shangai labda kwa mtizamo wako,manake kesho anaweza akambadilisha mpaka ubin.Hoja dhaifu sana kama Diamond angeamua kuwa karibu na watoto angekuwa nao karibu bila kujalisha Zari anataka hau ataki
Sheria zipo zinamlinda Diamond kama baba ndo naama nasema aliamua tu kuwa mbali na watoto wake
Unazungumzia hoja ya dini na uraia ?yaani wewe na akili yako timamu unashindwa kuona damu yako kisa watoto wameenda kanisani ? Seriously?
Kuna watu wamezaa na watoto wa kichaga ukoo mzima hawamtaki hata kumuona lakini anapambana analea mtoto wake .
Unahalalisha vitu na hoja dhaifu sana
Diamond akiamua kuwa karibu na watoto wake hakuna kiumbe kinaweza kumzuia awe Zari na ukoo wake wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakwambiaje Zari hata angeamua wototo wasiwe na dini bado Diamond ndo baba tena ukizingatia hawajui chochote akiamua kuwa nao karibu angekuwa nao tu Sheria iko upande wake.Hoja dhaifu kumbadilisha uraia na kuwapeleka watoto kanisani hoja dhaifu?Ila si shangai labda kwa mtizamo wako,manake kesho anaweza akambadilisha mpaka ubin.
Hivi unajua IMAN ni very sensitive na ni moja ya vitu vinavyoleta mtafaruku mpaka kufikia hatua ya kutoana uhai sijui kama unalijua hili.
Mimi navyojua mimi kulea ni kushirikishana kwenye kufanya maamuzi juu ya mtoto,ukienda against basi wewe ndio mwenye ego na pride.
Amue hajakatazwa,kama aliweza kuwapeleka watoto kanisani na kuwa badilisha uraia,nisingeshangaa akiwabadilisha dini.Nakwambiaje Zari hata angeamua wototo wasiwe na dini bado Diamond ndo baba tena ukizingatia hawajui chochote akiamua kuwa nao karibu angekuwa nao tu Sheria iko upande wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wanawake ambao **** zao wamezigeuza mitaji nawachukia sana.
**** ni kwasababu ya kukojoa mkojo, kuzaa na kuburudika na si biashara.
Alafu kulea sio msaada kusema mwanamke asipofanya ninavyotaka naacha ule ni wajibu wake haijalishi wana maelewano gani yupo mama watoto wake.Hoja dhaifu kumbadilisha uraia na kuwapeleka watoto kanisani hoja dhaifu?Ila si shangai labda kwa mtizamo wako,manake kesho anaweza akambadilisha mpaka ubin.
Hivi unajua IMAN ni very sensitive na ni moja ya vitu vinavyoleta mtafaruku mpaka kufikia hatua ya kutoana uhai sijui kama unalijua hili.
Mimi navyojua mimi kulea ni kushirikishana kwenye kufanya maamuzi juu ya mtoto,ukienda against basi wewe ndio mwenye ego na pride.
Wajibu wake endapo akishirishwa kwenye maamuzi ya watoto.Alafu kulea sio msaada kusema mwanamke asipofanya ninavyotaka naacha ule ni wajibu wake haijalishi wana maelewano gani yupo mama watoto wake.
Kumbuka malezi sio ya mama ni ya watoto bonding ni ya baba na watoto.
Hakuna Excuse
Sent using Jamii Forums mobile app