Zari amlipua Diamond kwamba hatoi hela ya matunzo ya watoto wake baada ya kutangaza kulipa kodi za kaya 500

Zari ana kiburi sanahalafu jeuri sijui kwa sababu Ivan alimwachia vipesa.
Amna bana kijana wetu domo anashida sn labda ndio masharti ya kazi yake.....lkn yeye ndio mwenye shida
 
Thibitisha maelezo yako kwa mujibu wa sheria za Tanzania na katiba pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…