dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Duuh [emoji46]Kweli, isije kuwa na yeye ana UKIMWI wa kurogwa kama Sam Wa Ukweli (R.I.P)
Nakushauri na wewe ukapime akili yako.Ndio, ndo ukweli. Wameachana miezi mitano na katika kipindi hicho huwezi jua kama diamond alikuwa anatumia kinga au lah, kwanza nashangaa kwanini masuperstaa wanapiga gemu mara kwa mara tena bila kinga halaf hawapati magonjwa ya zinaa , ila sisi raia ndo tunaugua. Au ngoma kwa mastaa haipo.
Nakushauri zari hakikisha diamond anapima damu kubwa ndo urudiane nae
AhahahahAliyekwambia msanii anaweza kupata ukimwi nani? Labda uwe UKIMWI WA KUROGWA[emoji3]
Asisahau pindi amalizapo hilo ahamie kwenye vidole,Bila kusahau kumpima kifua
Bill nass ndo angepimwa vidoleAsisahau pindi amalizapo hilo ahamie kwenye vidole,
Mbona kama mambo mengine ni binafsi sana?Ndio, ndo ukweli. Wameachana miezi mitano na katika kipindi hicho huwezi jua kama diamond alikuwa anatumia kinga au lah, kwanza nashangaa kwanini masuperstaa wanapiga gemu mara kwa mara tena bila kinga halafu hawapati magonjwa ya zinaa , ila sisi raia ndo tunaugua. Au ngoma kwa mastaa haipo.
Nakushauri Zari hakikisha Diamond anapima damu kubwa ndo urudiane nae
Nasoma comments apa