Zari ampime Diamond magonjwa kabla hajarudiana nae

Zari ampime Diamond magonjwa kabla hajarudiana nae

Ndio, ndo ukweli. Wameachana miezi mitano na katika kipindi hicho huwezi jua kama diamond alikuwa anatumia kinga au lah, kwanza nashangaa kwanini masuperstaa wanapiga gemu mara kwa mara tena bila kinga halaf hawapati magonjwa ya zinaa , ila sisi raia ndo tunaugua. Au ngoma kwa mastaa haipo.
Nakushauri zari hakikisha diamond anapima damu kubwa ndo urudiane nae
Nakushauri na wewe ukapime akili yako.

Usipoona chizi mtaani kwako basi ujuwe wewe ndio chizi mwenyewe.
 
Ndio, ndo ukweli. Wameachana miezi mitano na katika kipindi hicho huwezi jua kama diamond alikuwa anatumia kinga au lah, kwanza nashangaa kwanini masuperstaa wanapiga gemu mara kwa mara tena bila kinga halafu hawapati magonjwa ya zinaa , ila sisi raia ndo tunaugua. Au ngoma kwa mastaa haipo.

Nakushauri Zari hakikisha Diamond anapima damu kubwa ndo urudiane nae
Mbona kama mambo mengine ni binafsi sana?
 
Mkuu macho yako yanapima ukimwi? Huko kwa mastaa kunatisha mana chain iliyopo huko ni balaa ni io misosi tu na ku have fun muda mwingi ndio maana huoni Wakiyumba, ukimwi upo kwa masikini
 
Mleta mada usione watu wanatembea tu na kucheka kana kwamba wana raha, wengi wao ni midege ya jeshi na hawajali lijalo.
 
Uu uzi uu sijauulewa kwanini usianze na wanaokuzunguka kwanza
 
33020039_168753517126251_3103898497460469760_n.jpg
 
Zari hawezi kurudiana naye na akirudi atakuwa zombie kiwango cha lami
 
Back
Top Bottom