Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Nimekimbia fasta kuchungulia mbona hamna kitu jameni kupeana presha huku tehMmh yanayoendelea huko sio ya kusimulia ni aibu.. Hadi magazeti ya gossip yameshindwa kuandika hizo habari.. Ni zina matusi yasio andikika hatar
huyo ni Lemutuz ameshagombana na Mange makubwa aiseee sasa huyu mange atakuja hata hapa jf agombane na Lara1 hahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaWarumi habar ya mjini for now ni bifu la king of all social media na Mange.. Mengine haya ni ma gossip ambayo ni kama ya kutunga tunga hivi.. Yamejificha ficha not open to the audience
Zari haya mambo sijui kajifunzia wapi, hakua hivi huyu, mtoto wa watu alikua hajui hata kuongea, sasa hivi naona yamemfika hapaa, acha movie iendelee, nasubir tu kutoka kwa kaka mkubwa, sijui atamsapoti nani hapa uwii umbea siachihahaha yetu macho binamu
atahama mji wa tz mchana kweupee ndo aseme watz wabaya kumbe kachokoza nyuki atoke bandaniWambea tunaomba mbali, sio kwa sifa hizo, zari anataka kumchokonoa diamond we muache
so mmanyema!!km mzaramo anakusema mpk unakufaaa!!Mama zari anaonyesha si mtu wa makuu kbs ila mama wa tandale ni shida anaweza kukusema hadi ukafa
Mange na lemutuz ni kama warumi na Dinazarde wanajuana wale, kilichobaki waoane tu maana wote wambea, huyu king wa social network mange queen baaasi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Warumi habar ya mjini for now ni bifu la king of all social media na Mange.. Mengine haya ni ma gossip ambayo ni kama ya kutunga tunga hivi.. Yamejificha ficha not open to the audience
binadamu ana sura mbili always na usidanganyike na facial expression!!Zari haya mambo sijui kajifunzia wapi, hakua hivi huyu, mtoto wa watu alikua hajui hata kuongea, sasa hivi naona yamemfika hapaa, acha movie iendelee, nasubir tu kutoka kwa kaka mkubwa, sijui atamsapoti nani hapa uwii umbea siachi
Kamfichia aibu mtoto wake na yeye sasa hiv anaonekana baba(japokua hatuna uhakika kama ni wake) yani binadamu jaman, zari hana shida ni vile tu malezi aliyokulia uzungu mwingi ndio maana wanashindwana khaa mama domo kazidi nina kichambo chake na yeyeKwanini akumkataa alivyoletwa kwake mara ya kwanza? kwanini alifurahi alivyomletea mjukuu? Vtu vingne shirikisha akili yako.
Binamu kuna nn? Nimechanganyikiwa ujue hapa mpaka nimepitiliza kituo,uwiiii umbea utaniua mwaka hui,eeh kulikoni jaman ?Mmh yanayoendelea huko sio ya kusimulia ni aibu.. Hadi magazeti ya gossip yameshindwa kuandika hizo habari.. Ni zina matusi yasio andikika hatar