Zari amsifia mama ake, asema sio mswahili

Zari amsifia mama ake, asema sio mswahili

Haya ubuyu huo [emoji116]
872dc37340148879b8f984daa739907c.jpg
mana mmekalia ubuyu tu.. kuleni sasa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Warumi habar ya mjini for now ni bifu la king of all social media na Mange.. Mengine haya ni ma gossip ambayo ni kama ya kutunga tunga hivi.. Yamejificha ficha not open to the audience
huyo ni Lemutuz ameshagombana na Mange makubwa aiseee sasa huyu mange atakuja hata hapa jf agombane na Lara1 hahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Warumi habar ya mjini for now ni bifu la king of all social media na Mange.. Mengine haya ni ma gossip ambayo ni kama ya kutunga tunga hivi.. Yamejificha ficha not open to the audience
Mange na lemutuz ni kama warumi na Dinazarde wanajuana wale, kilichobaki waoane tu maana wote wambea, huyu king wa social network mange queen baaasi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Zari haya mambo sijui kajifunzia wapi, hakua hivi huyu, mtoto wa watu alikua hajui hata kuongea, sasa hivi naona yamemfika hapaa, acha movie iendelee, nasubir tu kutoka kwa kaka mkubwa, sijui atamsapoti nani hapa uwii umbea siachi
binadamu ana sura mbili always na usidanganyike na facial expression!!
huyu wa sasa ndo zari mwenyewe yule alikua pretender tu!!
 
Kwanini akumkataa alivyoletwa kwake mara ya kwanza? kwanini alifurahi alivyomletea mjukuu? Vtu vingne shirikisha akili yako.
Kamfichia aibu mtoto wake na yeye sasa hiv anaonekana baba(japokua hatuna uhakika kama ni wake) yani binadamu jaman, zari hana shida ni vile tu malezi aliyokulia uzungu mwingi ndio maana wanashindwana khaa mama domo kazidi nina kichambo chake na yeye
 
Mmh yanayoendelea huko sio ya kusimulia ni aibu.. Hadi magazeti ya gossip yameshindwa kuandika hizo habari.. Ni zina matusi yasio andikika hatar
Binamu kuna nn? Nimechanganyikiwa ujue hapa mpaka nimepitiliza kituo,uwiiii umbea utaniua mwaka hui,eeh kulikoni jaman ?
 
so mmanyema!!km mzaramo anakusema mpk unakufaaa!!
Huyo zari angetukodisha tuwaonyeshe hao midomo juu akina esma, mfyuuu wanamuonea tu mama wa watu, atakufa kwa pressure bure
 
binadamu ana sura mbili always na usidanganyike na facial expression!!
huyu wa sasa ndo zari mwenyewe yule alikua pretender tu!!
Bora awakomeshe, watamzoea vibaya sio kwa vichambo vya akina esma
 
hawa waganda naona wanataka kututawala akili zetu sasa...
huyu zari apewe uhamisho Arudi kwao tumemchoka
tumeshampa umaarufu inatosha
 
Ni ukwelo aliouona kwa mama yake, vizuri kwa kumsifia azidi kumsifia.

Kila mtu uzaliwa toka tumbo la mwanamke mmoja.

Heri ya kuzaliwa Mama Zari
 
Back
Top Bottom