Zari amsifia mama ake, asema sio mswahili

Sijui hata unasubir nn kuhamia, achana na msukuma njoo dar uishi na lemutuz downtown uwe unamsaidia ku type maana mkewe mange yupo ulaya
Ahahahah uwiii ,soon binam tutakuwa tunapitilizwa kwenye daladala wote kwa umbeya
 
Tifa ajiandae kupata mdogo ake mwenye rangi ya kiwi
Hehehe ila Baraka anaonekana atakuwa wa moto sana si kwa weusi huo,
Ilioneshwq picha ya tifah akiwa hajaeditiwa si mweupe vile
 
Zari kaacha mume tajir mwenye pesa na kila kitu kaenda kwa diamond, diamond akimuacha zari ndo basi tena

Una uhakika yeye ndo alimuacha mume tajiri au yeye ndo aliachwa??? Zari ni hooker na ni gold digger, mwanamke mwenye watoto watatu anaejiheshimu hawezi tembea na kakijana kaa 25 kwa muda usiozidi miezi sita akakavulia pichu na kufanywa bila hata condom hadi uja uzito.Hizo ni characters za ma hooker waliobobea, au ndo alikua anatafuta pesa huku na kule? napita tuu.
 
Ivan bado anampenda zari wewe
 
uliza uambiwe kama zari kaachwa na talaka
 
uliza uambiwe kama zari kaachwa na talaka


Kama hajaachwa unakubali kwamba Zari ni changudoa, atakitombeshaje nje na mimba juu kama alikua hajapewa talaka?? huo ni umalaya wa kiwango cha juu sana atii.
 
pesa pesa pesa... ndugu yangu... huyo kijana mwenzake atamsaidia nini?
 

Huyu Zari mbona yeye hayuko kama mama yake? Kwa lugha nyingine alishindikana kimalezi na ndiyo sababu yuko vile. Na akiendelea kuvaa hayo madudu muda si mrefu atakuondoka kwenye kiwango cha uswahili alichonacho sasa. Sijui atakuwa kitu gani!.
 
Sijui hata unasubir nn kuhamia, achana na msukuma njoo dar uishi na lemutuz downtown uwe unamsaidia ku type maana mkewe mange yupo ulaya
Hivi wewe una umri gani halafu mbabaikaji mbaya
 
Sasa mbona na yeye ana mambo ya kiswahili?!
aweke mambo hadharani kila mtu ajue kama vipi amkodi KAOGE waende wakawasute na matarumbeta

aisee wanaume wa Dar tunafaidi mno daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…