Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Ha haa Mange mwehu.. Ingekuwa mimi ndio le mutuz bingepiga tu kimya.. mange ukinyamaza anakuheshim na badae anaweza hata kukuomba msamaha..Hahahaaaa.. Aisee hii vita lemutuz aachane nayo...hii ligi haiwezi...
Sio kwa zile knockout
Mange kamchokoza sana Zari na Z hajajibu choxhote mpaka Mange kachoka mwenyewe