Zari amsifia mama ake, asema sio mswahili

Hahahaaaa.. Aisee hii vita lemutuz aachane nayo...hii ligi haiwezi...
Sio kwa zile knockout
Ha haa Mange mwehu.. Ingekuwa mimi ndio le mutuz bingepiga tu kimya.. mange ukinyamaza anakuheshim na badae anaweza hata kukuomba msamaha..
Mange kamchokoza sana Zari na Z hajajibu choxhote mpaka Mange kachoka mwenyewe
 
Ha haa Mange mwehu.. Ingekuwa mimi ndio le mutuz bingepiga tu kimya.. mange ukinyamaza anakuheshim na badae anaweza hata kukuomba msamaha..
Mange kamchokoza sana Zari na Z hajajibu choxhote mpaka Mange kachoka mwenyewe
Heheheee.. Mange mwehu tuu... Lakini yale mapigo lemutuz hawezi kuyajibu miaka 100.. Bora akae kimya na Le fiance wake mambo yaende...
 
Moves gracefully, atakuwa anapiga kijembe hapa.


 
hii post ya Zari kumsifia mama yake ni nzuri sana ila haikutakiwa iwekwe kipindi hiki ambacho ana timbwili na mama Diamond.Just thinking loud......

Usemi wako ni sahihi kabisa na wenye busara, Kwa mwenye hekima
Ila sasa zari kama celebrity watu wake watataka kujua ana react vipi
Kwenye hilo timbwili.
Sometimes pear pressure can influence suchthing.
 
Usemi wako ni sahihi kabisa na wenye busara, Kwa mwenye hekima
Ila sasa zari kama celebrity watu wake watataka kujua ana react vipi
Kwenye hilo timbwili.
Sometimes pear pressure can influence suchthing.
Kabisa pale unapotanguliza feelings za kiushabiki bila kuangalia impact yake mbeleni .Na ninauhakika hiki kitu kinamtesa sana Diamond saicological hajijui asimamie wapii
 
Ukiona mwanamke au mke wako ameanza kukutukania mama yako mzazi directly or indirectly ujue anakudharau au amekudharau!! Ndomo inabidi ajifikirie sana kwa huyu mzazi mwenza!
Na ukiona ma mkwe anamkuwadia mme kwa watoto wa mjini na kumdharau mkeo maana ake nini
 
Walikuwa wapi mpaka akawazalia kama walijua bi mzee?? Alafu mama dai kutwa kumpost mtoto wa esma na kumtenga wa zari, hapa analenga kumuumiza nani?zari au dai , bureeee kabisa
Suluhisho mama chibu apate bwana tena kaserengeti katakako mkeep busy huku kakimchatisha wosapu muda wote ni mvua ya msg baby umekula, baby umelala, baby umevaa nini..... Atapunguza kujihusisha na mapenzi ya mwanae
 
Mama Diamond na Dada yake Diamond watasemaje Zari anaringa wakati Zari hajui kiswahili na wao hawajui kiingereza,hapo tatizo ni lugha gongana utaanzishaje story nae na yeye ataanzishaje story nao? Kwahiyo akikaa kimya wanamchukulia anaringa kumbe kuna language barrier.
 
Ila km ni dongo kwel zari anaweza panikisha watu maana jana kwa post yake mwajuma lokole kaongea maneno yasiyoandikika. Familia ya chibu inahitaji kauli mbiu ya Elimu Elimu Elimu
 
Wakusikilize Mkuu .....unatumia kinywaji gani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…