Zari amtakia heri ya kuzaliwa wifi yake queen dareen

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Zari ameonesha hana kinyongo hata kidogo kwa wifi yake queen darleen ingawa pale mwanzoni queen darleen alimlia bati Zari kwa kugoma kumtakia heri ya kuzaliwa wifi yake huyo na kuongea mbovu mbovu juu yake lakini kwa upande wa huyu mwanamama kutokea Uganda ameonesha upendo wa hali ya juu kwa wifi yake huyo

Kitendo hiki kimepokelewa kwa furaha sana kwa mashabiki wa Zari pia hata wale wa Queen darleen ,wengi wamempongeza Zari kwa upendo huo na kumuombea kwa Mungu azidi kufanikiwa katika maisha yake huku wakimsisitiza aendelee kuwa na moyo huo huo.

Nivue _chupi_baby[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]!!Daah!watu wanavisa sana jamani nimecheekaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu bana wanajipa majina mazuuri ya bandia, majina yao halisi yakitajwa sasa??? Unakoma mwenyewe,
Mwanaasha, mwamvua, mwanahamisi, mwajuma.. acha nipite
 
Usichanganye Queen Darleen na drama za Esma na mama Chibu... Queen Darleen hajawahi kuwa na matatizo na Zari... na kama anayo basi yapo moyoni mwake!
 
Huyo Queen Darleen hajawahi kumchunia Zari ....ansyemchunia Zari ni Esma yule mzuri kama mkorea
Esma ana uzuri gani yule ,sura kama sori ya kiatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usichanganye Queen Darleen na drama za Esma na mama Chibu... Queen Darleen hajawahi kuwa na matatizo na Zari... na kama anayo basi yapo moyoni mwake!
Anhaa kumbe ,kumbe hawa wapo poa kabisa ?

Watu walichonga sana queen darln alivyoachwa safari ya Zenji badala yake akachukuliwa aunt ezekiel
 
Anhaa kumbe ,kumbe hawa wapo poa kabisa ?

Watu walichonga sana queen darln alivyoachwa safari ya Zenji badala yake akachukuliwa aunt ezekiel
Hawana problem... tatizo au drama dhidi ya Zari zipo upande wa Mama ambao Queen Darleen haumuhusu!! Hilo la Zanzibar si unawajua Wabongo!? Likitokea jambo hawana muda wa kujiuliza kwanini... hapo hapo wanatoa jibu lao!!!
 
Nivue _chupi_baby[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]!!Daah!watu wanavisa sana jamani nimecheekaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahahaha mkuuu kama ulikuwa mawazoni kwangu yaani majina ya insta ni noma.....eti. Nivue chupi baby bwahahaha
 
Hahahaha mkuuu kama ulikuwa mawazoni kwangu yaani majina ya insta ni noma.....eti. Nivue chupi baby bwahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watu bana wanajipa majina mazuuri ya bandia, majina yao halisi yakitajwa sasa??? Unakoma mwenyewe,
Mwanaasha, mwamvua, mwanahamisi, mwajuma.. acha nipite
Hili jina lake ni baya kweli,hebu lisome hapa .......??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…