Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Zari ameonesha hana kinyongo hata kidogo kwa wifi yake queen darleen ingawa pale mwanzoni queen darleen alimlia bati Zari kwa kugoma kumtakia heri ya kuzaliwa wifi yake huyo na kuongea mbovu mbovu juu yake lakini kwa upande wa huyu mwanamama kutokea Uganda ameonesha upendo wa hali ya juu kwa wifi yake huyo
Kitendo hiki kimepokelewa kwa furaha sana kwa mashabiki wa Zari pia hata wale wa Queen darleen ,wengi wamempongeza Zari kwa upendo huo na kumuombea kwa Mungu azidi kufanikiwa katika maisha yake huku wakimsisitiza aendelee kuwa na moyo huo huo.