Zari amuuliza Diamond “Madale state lodge au guest house?

Petro hakujinyonga bali alikua Judah Iscariot so hapo umefeli mkuu
 
Correction, aliemsaliti Yes akajinyonga sio PETRO ni YUDA.
 
Nakusahihisha Yuda ndiye aliyemsaliti Yesu na kulipwa lkn akaishia kujinyonga.

Perto alimkana na baada ya jogoo kuwika mata tatu akakumbuka akaenda kulia sana na kutibu. Toka hapo alichagua kuhubiri injili bila woga hadi mauti ilipo mkuta
 
Chanteeee
 
Noted. Ila ulichoandika na mm nimekiongelea. Tho thanx.
 
Thinking critically![emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…